pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Inaweza kutumika kama makubaliano yalifuatwa ila yanga huo mda wanaosema walikuwa wamefungiwa kusajili hivyo hili swala la kagoma lina ujanja ujanja mwingi sana.kwa hiyo pre contract haiwezi kutumika kama ushaidi? na inakuwaje upande mmoja unapo kiuka mkataba wa awali?