Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hivi mmeshtaki? Au nia ni maigizo tu ilimradi kuwe na midahalo mitandaoni?Na kama alisaini ni Sheria ipi inayobatilisha mkataba wake na yanga? Msiwe mnaokota okota vitu mitandaoni na mkameza kama vilivyo,,bila kuzishughulisha akili zenu,,yanga hoja yake ni kuhusu double signing aliyofanya kagoma ndio msingi wa kesi na si vinginevyo, ayo mengine ni kuongezea nyama tu but hoja ni iyo kwanini alifanya double signing? Ni mkataba upi ulivunjwa ili kuhalalisha mkataba mwingine!