Suala la Kagoma Fountain Gate mlishajichanganya pakubwa bora mkae kimya Yanga ashughulike na mhalifu wake

Hivi mmeshtaki? Au nia ni maigizo tu ilimradi kuwe na midahalo mitandaoni?
 
Wewe usiwapangie yanga mtu wa kukomaa nae, wao wanajua wanachokifanya, Hii ni kesi ya yanga na kagoma mambo ya fountain gate yatakuja badae kwenye huu mlolongo, akili za kuambiwa changanya na za kwako wewe ukiambiwa kula mavi utakula na wakati unajua sio kitu sahihi?
 
Kwaiyo malipo ayakukamilishwa? Usipokamilisha malipo mkataba unavunjika?
Hukumbuki yaliyowatokea Simba kwa Lameck Lawi Wa Coastal?
Bila kukubali kuwa mkataba umevunjika kwanini walikubali ile hela waliyolipa kwa Kagoma iende kwa Andambwile? Ww tafuta mkataba Wa Andambwile. Hutakuwa na maswali yote hayo.
Ndo mana wakati dirisha la usajili la TFF lilipokuwa wazi hawakuhangaika na Kagoma. Walijua wataumbuka. Wanakuja wakati huu ambapo dirisha limefungwa ili kumsumbua Kagoma lkn lengo kuu ni kuwasumbua Simba.
Lkn hawatafanikiwa.
 
Watakwenda hadi CAS lkn wataangukia pua. Ni wazoefu wa kushindwa kesi. Acha wakomae tu.
 
Tuonyeshe hapa mkataba wa Andambwile kama unao.
 
Kishika uchumba sio ndio hitimisho,transfer letter na code za kwenye electronic transfer ndio mpango mzima ambavyo vyote Simba wanavyo.

Nachowashauri hawa Yanga waidai mil30 yao tu hawawezi tena kumsajili huyo dogo kwani tayari amesajiliwa Simba na kwenye mtandao ndio inaonekana hivyo
 
Yanga hawaidai Fountain gate mil 30. Hiyo hela waliitumia kwenye usajili Wa Andambwile Aziz. Hawadai ht Mia.
 
Tuonyeshe hapa mkataba wa Andambwile kama unao.
Uutafute wewe. Mm nmeuona. Km huwezi kuuona bac elewa tu kimazingira kuwa Yanga walimnunua Aziz Andambwile pia kutoka kwa hao hao Fountain gate. Yanga wenyewe wameonyesha risiti 2 za mil.30. jumla mil. 60 kwa ajili ya wachezaji wawili. Sasa Wana Kibabage na Andambwile. Wawaambieni hela ya kumnununua Andambwile walilipa lini? Tumia akili kdg tu Mkuu, pamoja na upenzi na ushabiki ulio nao.
 
Umeandika mengi ila haujaelezea iwapo baada ya Kagoma kusaini mkataba na Yanga, Je, alisajiliwa na Yanga? Kama hakusajiliwa mpelekeni polisi wakati anaendelea kucheza alikosajiliwa
Uelewa wako mdogo sana wewe, hivi vitu waachie watu wenye uelewa wajadili.
 
Uelewa wako mdogo sana wewe, hivi vitu waachie watu wenye uelewa wajadili.
Embu tuambie Mkuu, hivi Yanga leo hii wakipewa Kagoma awe mchezaji wao watamfanya nn wakati huu ambao dirisha la usajili limefungwa? Mbona hizi jitihada na hizi kelele hawakupiga wakati dirisha likiwa wazi? TFF walitoa muda Wa mapingamizi, kwann hawakuweka pingamizi kwa usajili Wa Kagoma kwenda Simba km wana mkataba wanaoamini ni halali? Hizi ni drama tu. Hazina impact yoyote...
 
Sheria ya fifa ni siku 30 toka deadline,siku tano fountain gate wakamuua kwingine
 
Wewe una asili ya ubishi ambao auna maana yoyote na akuna unachokijua zaidi ya kupoteza mda wangu Bure hapa, nimeona unang'ang'ana na mkataba wa andambwile baada ya kuwasifia fountain gate wanaotoka iyo hoja ukadandia usichokijua, unajua yanga waliwalipa fountain gate shingapi jumla kwa hao wachezaji 3? Yanga wamelipa jumla milioni 90, kwa taarifa yako sasa nenda Tena wakueleze vizuri hao jamaa zako ndo maana nakwambia akuna unachokijua wewe zaidi ya ubishi tu usioeleweka!
Usikariri Kila unachokisikia na kukishikia bango, kesi iliyopo mbele ni yanga v/s kagoma juu ya double signing full stop!
 
Good thinking 🤔
 
Yanga ni makanjanja unamsainisha vipi Mchezaji mkataba wakati hela hujampa ? Hata wewe mleta uzi unaweza kupanga na kusaini mkataba wakati mwenye nyumba hujampa chake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…