Alafu uyo jamaa Mr mpevu anasema eti atukuona kilichomkuta Simba kwa lamek lawi ajui kwamba Simba angeshikilia msimamo wake uyo lawi asingecheza popote, Simba wamemuachia lawi baada ya kusamehe tu kwa kumaliza suala hilo nje ya utaratibu but Simba alikuwa Yuko kwenye njia sahihi kisheria, ivyo isichukuliwe kwamba busara Ile ndio itumike pia kwa kagoma iyo haipo kwa sasa!Sheria ya fifa ni siku 30 toka deadline,siku tano fountain gate wakamuua kwingine
Unajua maana ya makubaliano ya pande mbili?Yanga ni makanjanja unamsainisha vipi Mchezaji mkataba wakati hela hujampa ? Hata wewe mleta uzi unaweza kupanga na kusaini mkataba wakati mwenye nyumba hujampa chake ?
Mpira ni biashara Mkuu, makubaliano ndio lakini akija mwenye hela wewe utabaki na hayo makubaliano mwenye hela anabeba maliUnajua maana ya makubaliano ya pande mbili?
Kitendo cha kuandika xaxa badala sasa kimefanya nikuvue nyota zote, mwanaume kuandika xaxa ni umamaMwanasheria nilimsikiliza na yeye anaongea yale yale ya kwamba wao walifanya biashara na Simba, xaxa ni nani aliwaambia wafanye biashara na Simba wakati wanao mkataba mwingine na yanga? Na bado wakamwambia mchezaji asaini Tena mkataba na Simba walijua kwamba ule wa yanga tiyali umevunjika iyo kitu aipogo uwezi kuvunja mkataba kirahisi ivyo kama unavunja Kuni Tena mkataba wa mchezaji na klabu ni ngumu!
Umemaliza....Umeandika mengi ila haujaelezea iwapo baada ya Kagoma kusaini mkataba na Yanga, Je, alisajiliwa na Yanga? Kama hakusajiliwa mpelekeni polisi wakati anaendelea kucheza alikosajiliwa
Pre contract sio mkataba kijana ni kama primary agreement ndani ya specified time and conditions .Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba mchezaji!
Hiki ni kichekesho kingine kwakuwa mkataba wa mchezaji aliousaini na klabu husika auwezi kuvunjika kwa kuchelewesha malipo kwa siku 5!
Icho kitu akipo popote ata fifa, na mbaya zaidi wakamuuza Tena mchezaji kwa klabu nyingine na mchezaji uyo uyo akasaini Tena mkataba mwingine!
Fountain gate ni Bora wachutame wasiendelee kukuza mambo kama iyo ndio hoja yao kuu wanayoishikilia itawacost wawaache yanga waendelee kudili na kagoma binafsi ambaye alisaini mikataba miwili (double signing) akiwa na akili zake timamu!
Kucheleweshewa malipo Tena kwa siku 5 akuondoi uhalali wala kuvunjika kwa mkataba aliousaini kagoma kisheria, hapo ndipo nguvu ya yanga ilipo wao sio wajinga kulivalia njuga suala ilo!
Tunaweza kurudi kwenye suala la Simba na lamek lawi, alinukuliwa magori akisema kuchelewesha malipo ya lawi akuondoi uhalali wa mkataba aliousaini kati yake na Simba na alikuwa sahihi lakini waliamua kumalizana wao uko kwa busara!
Sasa kwa hili la kagoma kamati isipepese macho itoe maamuzi kwa kufata kanuni na taratibu zilizowekwa mwenye makosa aadhibiwe na sio vinginevyo!
Unataka hoja gani?wewe hauoni kama saiv mnafanya comedy utopolo au unajizima data?Leta hoja za kisheria na sio viroja usiwe mbumbumbu kupitiliza!
ni kwamba hawakumpa pesa kagoma? na pesa nusu iliyolipwa kwaajili ya mkataba kagoma haikumfikia?Yanga ni makanjanja unamsainisha vipi Mchezaji mkataba wakati hela hujampa ? Hata wewe mleta uzi unaweza kupanga na kusaini mkataba wakati mwenye nyumba hujampa chake ?
kwa hiyo pre contract haiwezi kutumika kama ushaidi? na inakuwaje upande mmoja unapo kiuka mkataba wa awali?Pre contract sio mkataba kijana ni kama primary agreement ndani ya specified time and conditions .
Inawezekana kutumika kama terms and conditions za contract zilizingatiwa awali ila kama hawajazingia unakufa automatically mkuukwa hiyo pre contract haiwezi kutumika kama ushaidi? na inakuwaje upande mmoja unapo kiuka mkataba wa awali?
Nani kakwambia Ile ni pre contract? Ule ni mkataba halisi acha wenge wewe!Pre contract sio mkataba kijana ni kama primary agreement ndani ya specified time and conditions .
Swala la Simba na Lawi limeisha baada ya Simba kukubali kumwachia.Hukumbuki yaliyowatokea Simba kwa Lameck Lawi Wa Coastal?
Bila kukubali kuwa mkataba umevunjika kwanini walikubali ile hela waliyolipa kwa Kagoma iende kwa Andambwile? Ww tafuta mkataba Wa Andambwile. Hutakuwa na maswali yote hayo.
Ndo mana wakati dirisha la usajili la TFF lilipokuwa wazi hawakuhangaika na Kagoma. Walijua wataumbuka. Wanakuja wakati huu ambapo dirisha limefungwa ili kumsumbua Kagoma lkn lengo kuu ni kuwasumbua Simba.
Lkn hawatafanikiwa.
Kati ya usajiri na mkataba kipi kina anza ndugu mbumbumbu?Umeandika mengi ila haujaelezea iwapo baada ya Kagoma kusaini mkataba na Yanga, Je, alisajiliwa na Yanga? Kama hakusajiliwa mpelekeni polisi wakati anaendelea kucheza alikosajiliwa
Una elewa maana ya pre contract au una changamsha genge?Inawezekana kutumika kama terms and conditions za contract zilizingatiwa awali ila kama hawajazingia unakufa automatically mkuu
Umesomea mikataba wewe? Kutotimiza provision mojawapo ni kuvunja mkataba impliedly. Acha ushabiki maandazi.Akuna cha uhuni hapo, kama ni uhuni basi kagoma na watu wake ndio wahuni, nani alikwambia kuchelewa kufanya malipo ndio kunavunja mkataba wa mchezaji? Tena kuchelewa kwa siku 5? Iyo ni Sheria ya wapi ebu tuambie!
Tatizo ww unazungumzia kishabiki mimi nazungumzia uhalisia wa jambo lilivyo yanga hakuna anayejua sheria hata kitendo cha kuweka zile document hadharani kama kagoma anaaamua kuwaburuza mahakamani analipwa pesa nyingi sana kwa kuvujisha zile document.Una elewa maana ya pre contract au una changamsha genge?
Kagoma kasema hajasaini mkataba na yanga kasini pre contract ndio ninayoizungumzia mimi yanga wamefanya vile ili hukumu ya TFF ikitoka wamlaumu karia kama kawaida yao kwamba wameonewa ila mwanasheria wa yanga hajawahi kushinda kesi ni ushikaji tu na engineer tu ndio unambeba kama kweli kagoma ana makosa waende sehemu husika kupata haki yao kinachowauma ni kagoma kwenda simba wala hakuna kingine.Nani kakwambia Ile ni pre contract? Ule ni mkataba halisi acha wenge wewe!
Mkataba waliuvunga yanga Kwa kuukiuka?Mwanasheria nilimsikiliza na yeye anaongea yale yale ya kwamba wao walifanya biashara na Simba, xaxa ni nani aliwaambia wafanye biashara na Simba wakati wanao mkataba mwingine na yanga? Na bado wakamwambia mchezaji asaini Tena mkataba na Simba walijua kwamba ule wa yanga tiyali umevunjika iyo kitu aipogo uwezi kuvunja mkataba kirahisi ivyo kama unavunja Kuni Tena mkataba wa mchezaji na klabu ni ngumu!