Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nilijua unakuja tu, i was waiting...
naomba ujibu suali la deskmate wangu hapo juu...
wakuwapunguzia bado wapo? i mean nafasi bado zipo ?kuna jamaa yangu anataka hapa
Bodyguard unamuona Ivuga anavoanza?Khaaa! yaani mbele ya bodyguard laivu?
Mimi nikipenda I don't expect you to be perfect,
And I am not perfect neither. so wewe ukinionesha imperfection
kwa kwenda nje na kushindwa na vishawishi
na mimi nitaonesha imperfection ya kushindwa kusamehe
Ngoma draw!
hehehe washenz wameiba saa na CD yangu ya wimbo wa taifa. Mzuka wa kikwete lazima utawaandama tu, yaani wanaiba wimbo wa taifa?huyu mpiga makofi bana siwezi kupoteza muda kujibu swali lake kwanza inabidi atuambie kwa nini anavaa saa kichwani hadi watu waibe? inabidi tumnunulie saa kama vile za fleva fleva atundike shingoni
Mwali sio mimi ninayetaka jamani ...lol!! kloro keshasema nyumba ndogo zinapoteza memory sasa nani anayataka hayo matatizo?Bodyguard unamuona Ivuga anavoanza?
Anataka The Boss amwambie vya dismissed nyumba ndogo ili afanyeje?
Hayo mengine anasema tu, mi hata sijui anamaanisha nini. lol
But as far as imperfection goes,message received Mwali!🙂
Deskmate umeipata? au mod kainyaka njiani? naona jiiii.Bodyguard unamuona Ivuga anavoanza?
Anataka The Boss amwambie vya dismissed nyumba ndogo ili afanyeje?
Hayo mengine anasema tu, mi hata sijui anamaanisha nini. lol
Hahahahaha, sasa unatembea na CD ya wimbo wa taifa ili iweje?hehehe washenz wameiba saa na CD yangu ya wimbo wa taifa. Mzuka wa kikwete lazima utawaandama tu, yaani wanaiba wimbo wa taifa?
Ukisha enda nje jiandae kwa kila kitu coz umesha geuzia mapenzi mgongo.
Kama ataamua kunikubali hivo hivo nitashukuru (ila asiwe anakumbushia kila saa sasa)
Na kama ataamua yaishe nitakua nimevuna nilicho panda.
Sijapata deskmate. usiwe umekosea jina ikaenda kwa Anti! lolDeskmate umeipata? au mod kainyaka njiani? naona jiiii.
wewe tulia tu deskmate kuna mtu atalambwa ban soon apa
Mwali sio mimi ninayetaka jamani ...lol!! kloro keshasema nyumba ndogo zinapoteza memory sasa nani anayataka hayo matatizo?
You are joking right? mbona naiona kwenye sent items, hebu cheki settings zako tena, aniwei acha ni resendSijapata deskmate. usiwe umekosea jina ikaenda kwa Anti! lol
Niilikua naongea kama hypothesis.it means kuna possibility ya wewe kwenda nje? OMG!
hehehe washenz wameiba saa na CD yangu ya wimbo wa taifa. Mzuka wa kikwete lazima utawaandama tu, yaani wanaiba wimbo wa taifa?
Niilikua naongea kama hypothesis.
Ila hatakatika lugha ya speculatio
But ndio thread yenyewe iko hapo:
Je ukipenda kwa dhati ndio maana yake hakuna kabisa kushawishika?
Na ukishawishika utaweza kuvumilia kwenda nje?
Na kama mpenzi wako akijua, afanyeje? asamehe coz unampenda kwa dhati
Au at the moment unaenda nje it means humpendi kwa dhati?
Niilikua naongea kama hypothesis.
Ila hatakatika lugha ya speculatio
But ndio thread yenyewe iko hapo:
Je ukipenda kwa dhati ndio maana yake hakuna kabisa kushawishika?
Na ukishawishika utaweza kuvumilia kwenda nje?
Na kama mpenzi wako akijua, afanyeje? asamehe coz unampenda kwa dhati
Au at the moment unaenda nje it means humpendi kwa dhati?
Nilimrekodia mzembe flani, akija getto watu wanapandisha mzuka kwa nyimbo za lucky dube yeye anaukomalia wimbo wa taifa mpaka pafu la mwisho.ha ha ah !! sasa wewe cd ya wimbo wa taifa ya nini? unafanya kazi FAT kwa kina Tenga na ndolanga nini?
Deskmate! unafanya kazi NECTA nini? yaani haya masuala umeyapanga na yametulia kiaina yaani.
Nimependa sana hii thread hadi nimeifanya ni yangu sasa hiviDeskmate! unafanya kazi NECTA nini? yaani haya masuala umeyapanga na yametulia kiaina yaani.
Na kwa upande mngine je?nimekuelewa mwali..kwangu mimi nitakusamehe na tutaendelea na maisha ila second time ndio itakuwa haisameheki kabisa hata hiyo first time yenyewe may be not..lakini Mungu apishilie mbali haya mambo