Suala la Kizushi

Suala la Kizushi

Nilijua unakuja tu, i was waiting...
naomba ujibu suali la deskmate wangu hapo juu...

huyu mpiga makofi bana siwezi kupoteza muda kujibu swali lake kwanza inabidi atuambie kwa nini anavaa saa kichwani hadi watu waibe? inabidi tumnunulie saa kama vile za fleva fleva atundike shingoni
 
Mimi nikipenda I don't expect you to be perfect,
And I am not perfect neither. so wewe ukinionesha imperfection
kwa kwenda nje na kushindwa na vishawishi
na mimi nitaonesha imperfection ya kushindwa kusamehe
Ngoma draw!

message received Mwali!🙂
 
huyu mpiga makofi bana siwezi kupoteza muda kujibu swali lake kwanza inabidi atuambie kwa nini anavaa saa kichwani hadi watu waibe? inabidi tumnunulie saa kama vile za fleva fleva atundike shingoni
hehehe washenz wameiba saa na CD yangu ya wimbo wa taifa. Mzuka wa kikwete lazima utawaandama tu, yaani wanaiba wimbo wa taifa?
 
Bodyguard unamuona Ivuga anavoanza?
Anataka The Boss amwambie vya dismissed nyumba ndogo ili afanyeje?
Hayo mengine anasema tu, mi hata sijui anamaanisha nini. lol
Mwali sio mimi ninayetaka jamani ...lol!! kloro keshasema nyumba ndogo zinapoteza memory sasa nani anayataka hayo matatizo?
 
Bodyguard unamuona Ivuga anavoanza?
Anataka The Boss amwambie vya dismissed nyumba ndogo ili afanyeje?
Hayo mengine anasema tu, mi hata sijui anamaanisha nini. lol
Deskmate umeipata? au mod kainyaka njiani? naona jiiii.

wewe tulia tu deskmate kuna mtu atalambwa ban soon apa
 
Ukisha enda nje jiandae kwa kila kitu coz umesha geuzia mapenzi mgongo.
Kama ataamua kunikubali hivo hivo nitashukuru (ila asiwe anakumbushia kila saa sasa)
Na kama ataamua yaishe nitakua nimevuna nilicho panda.

it means kuna possibility ya wewe kwenda nje? OMG!
(edited) basi usijibu nimeshaona sehemu uliyojibu relax🙂
 
it means kuna possibility ya wewe kwenda nje? OMG!
Niilikua naongea kama hypothesis.
Ila hatakatika lugha ya speculatio
But ndio thread yenyewe iko hapo:
Je ukipenda kwa dhati ndio maana yake hakuna kabisa kushawishika?
Na ukishawishika utaweza kuvumilia kwenda nje?
Na kama mpenzi wako akijua, afanyeje? asamehe coz unampenda kwa dhati
Au at the moment unaenda nje it means humpendi kwa dhati?
 
Deskmate! unafanya kazi NECTA nini? yaani haya masuala umeyapanga na yametulia kiaina yaani.
 
Niilikua naongea kama hypothesis.
Ila hatakatika lugha ya speculatio
But ndio thread yenyewe iko hapo:
Je ukipenda kwa dhati ndio maana yake hakuna kabisa kushawishika?
Na ukishawishika utaweza kuvumilia kwenda nje?
Na kama mpenzi wako akijua, afanyeje? asamehe coz unampenda kwa dhati
Au at the moment unaenda nje it means humpendi kwa dhati?

nimekuelewa mwali..kwangu mimi nitakusamehe na tutaendelea na maisha ila second time ndio itakuwa haisameheki kabisa hata hiyo first time yenyewe may be not..lakini Mungu apishilie mbali haya mambo
 
ha ha ah !! sasa wewe cd ya wimbo wa taifa ya nini? unafanya kazi FAT kwa kina Tenga na ndolanga nini?
Nilimrekodia mzembe flani, akija getto watu wanapandisha mzuka kwa nyimbo za lucky dube yeye anaukomalia wimbo wa taifa mpaka pafu la mwisho.
 
nimekuelewa mwali..kwangu mimi nitakusamehe na tutaendelea na maisha ila second time ndio itakuwa haisameheki kabisa hata hiyo first time yenyewe may be not..lakini Mungu apishilie mbali haya mambo
Na kwa upande mngine je?
Ikiwa umecheat ya kwanza ukasamehewa, alafu ukaanguka tena mara ya pili?
Hapo bado kuna mapenzi ya dhati? na hapo bado you deserve msamaha?
 
Back
Top Bottom