Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nimependa sana hii thread hadi nimeifanya ni yangu sasa hivi
nimesha piga coup d'etat, na Ivuga ni prime minister wangu! lol
Hahahahaaha, yaani unategemea kuleta barua,huyu mtoto ni kichwa ndio maana next week napeleka posa kabla mwezi mfupi haujaisha kuna kitabu nilisoma kuwa mke wako akipata mimban february lazima azae mapacha--60%
Na kwa upande mngine je?
Ikiwa umecheat ya kwanza ukasamehewa, alafu ukaanguka tena mara ya pili?
Hapo bado kuna mapenzi ya dhati? na hapo bado you deserve msamaha?
Unaumwa wewe, sio bure!si ungetolea mfano wa baba na mama, ndio umesimama zaidi
Hahahahaaha, yaani unategemea kuleta barua,
tufunge ndoa, niwe mke wako, all that before Feb iishe?
We kiboko aisee...
Unaumwa wewe, sio bure!
Deskmate, unamuona huyu?
Hiyo coup detat haina kwere lakini huyo prime minister ndo mzushi, naomba umuuzulu halakaNimependa sana hii thread hadi nimeifanya ni yangu sasa hivi
nimesha piga coup d'etat, na Ivuga ni prime minister wangu! lol
kha tangu lini bodi gadi akawa mshauri?Hiyo coup detat haina kwere lakini huyo prime minister ndo mzushi, naomba umuuzulu halaka
Mkuu kwa hii spidi unayokwenda naona bora tucheze dili tu, nikatie changu halaf niuchune mazima wale anko na anti zake wasjue. Lakini hakikisha kidau kinakuwa cha haja adhawaizi nakulipuamwali hili swali umeshauliza na kloro na mimi ningelijibu kama ulivyolijibu nyuma..but mimi si expect mambo hayo kwenye familia yangu na i hope Mungu atakuwa pamoja nasi
Mkuu kwa hii spidi unayokwenda naona bora tucheze dili tu, nikatie changu halaf niuchune mazima wale anko na anti zake wasjue. Lakini hakikisha kidau kinakuwa cha haja adhawaizi nakulipua
Ban yake iko karib sana huyu, tulia tu deskmate.Unaumwa wewe, sio bure!
Deskmate, unamuona huyu?
We are taking the thread over from a trained bodyguardMwali huu mfano ndio ungekuwa na mashiko zaidi huo wa coup de'tat umekaa kibanyamulenge zaidi we need something romantic. au unasemaje mwali?
Tutamalizana pembeni jibaba, hapa hata ukiona nimekutukana basi wewe uchune tu, filamu kama hizi inabidi uekti kuliko tom kruzi, adhawaizi yule anko wake atakata mtu mzizi wa uzazikatika siku zote za wewe kukaa hapa JF leo umeongea bonge la point na nakupa kredit zote..weka dau na mimi nakukatia hapa hapa unanipa mtoto wangu.dau lolote nakupe in cash lakini sio kuanza kuambiana sijui nillete bata, mbuzi au kondoo hayo mambo hayapo
Mkuu kwa hii spidi unayokwenda naona bora tucheze dili tu, nikatie changu halaf niuchune mazima wale anko na anti zake wasjue. Lakini hakikisha kidau kinakuwa cha haja adhawaizi nakulipua
:shock::shock::shock:katika siku zote za wewe kukaa hapa JF leo umeongea bonge la point na nakupa kredit zote..weka dau na mimi nakukatia hapa hapa unanipa mtoto wangu.dau lolote nakupe in cash lakini sio kuanza kuambiana sijui nillete bata, mbuzi au kondoo hayo mambo hayapo
Ban yake iko karib sana huyu, tulia tu deskmate.
So wewe unakula pesa za uncle wangu kwa mkono wa kulia,Tutamalizana pembeni jibaba, hapa hata ukiona nimekutukana basi wewe uchune tu, filamu kama hizi inabidi uekti kuliko tom kruzi, adhawaizi yule anko wake atakata mtu mzizi wa uzazi
Ivuga mi nimekwambia kaongee na Uncle,ngoja nikaongee na tour company moja kuhusu mambo ya honeymoon mapema kabisa........naona tonge lipo mdomoni tayari ni kumeza tu..all respect kwa klorokwin kwa kunipa shortcut.
Mwali chagua mwenyewe twende kisiwa gani vile?
:shock::shock::shock:
kha!
My uncle will not like this...
and you two will not like my uncle reaction:A S 100:
Deskmate! wewe kweli ni great thinka.I just hope hizi hela unakusanya ni za kule kwa nyota!
vingine you are so dead yani! nitamwambia uncle!!!
Ivuga mi nimekwambia kaongee na Uncle,
we unajifanya kuongea na Klorokwini
Uncle wangu akija kujua utaumia sana...