Suala la Kizushi

Suala la Kizushi

Nimependa sana hii thread hadi nimeifanya ni yangu sasa hivi
nimesha piga coup d'etat, na Ivuga ni prime minister wangu! lol

si ungetolea mfano wa baba na mama, ndio umesimama zaidi
 
huyu mtoto ni kichwa ndio maana next week napeleka posa kabla mwezi mfupi haujaisha kuna kitabu nilisoma kuwa mke wako akipata mimban february lazima azae mapacha--60%
Hahahahaaha, yaani unategemea kuleta barua,
tufunge ndoa, niwe mke wako, all that before Feb iishe?
We kiboko aisee...
 
Na kwa upande mngine je?
Ikiwa umecheat ya kwanza ukasamehewa, alafu ukaanguka tena mara ya pili?
Hapo bado kuna mapenzi ya dhati? na hapo bado you deserve msamaha?

mwali hili swali umeshauliza na kloro na mimi ningelijibu kama ulivyolijibu nyuma..but mimi si expect mambo hayo kwenye familia yangu na i hope Mungu atakuwa pamoja nasi
 
Hahahahaaha, yaani unategemea kuleta barua,
tufunge ndoa, niwe mke wako, all that before Feb iishe?
We kiboko aisee...

definetly yes and its possible..aunt hana tabu kabisa uhcle ki kitendo tu cha kumpiga beer mbili balanced to perfection analewa anazima watu tuunamchukua mtoto
 
Unaumwa wewe, sio bure!
Deskmate, unamuona huyu?

Mwali huu mfano ndio ungekuwa na mashiko zaidi huo wa coup de'tat umekaa kibanyamulenge zaidi we need something romantic. au unasemaje mwali?
 
Nimependa sana hii thread hadi nimeifanya ni yangu sasa hivi
nimesha piga coup d'etat, na Ivuga ni prime minister wangu! lol
Hiyo coup detat haina kwere lakini huyo prime minister ndo mzushi, naomba umuuzulu halaka
 
mwali hili swali umeshauliza na kloro na mimi ningelijibu kama ulivyolijibu nyuma..but mimi si expect mambo hayo kwenye familia yangu na i hope Mungu atakuwa pamoja nasi
Mkuu kwa hii spidi unayokwenda naona bora tucheze dili tu, nikatie changu halaf niuchune mazima wale anko na anti zake wasjue. Lakini hakikisha kidau kinakuwa cha haja adhawaizi nakulipua
 
katika siku zote za wewe kukaa hapa JF leo umeongea bonge la point na nakupa kredit zote..weka dau na mimi nakukatia hapa hapa unanipa mtoto wangu.dau lolote nakupe in cash lakini sio kuanza kuambiana sijui nillete bata, mbuzi au kondoo hayo mambo hayapo
 
Unaumwa wewe, sio bure!
Deskmate, unamuona huyu?
Ban yake iko karib sana huyu, tulia tu deskmate.
Halaf sorry umeipata (ya majibu) ? manaake wewe setting zako haziaminiki bana lol
 
Mwali huu mfano ndio ungekuwa na mashiko zaidi huo wa coup de'tat umekaa kibanyamulenge zaidi we need something romantic. au unasemaje mwali?
We are taking the thread over from a trained bodyguard
ambae ana back ground ya lawyer na anajifunza kiarabu (alqaeda?)
Alafu you want to do it the romantic way??? be a gangstar!
 
katika siku zote za wewe kukaa hapa JF leo umeongea bonge la point na nakupa kredit zote..weka dau na mimi nakukatia hapa hapa unanipa mtoto wangu.dau lolote nakupe in cash lakini sio kuanza kuambiana sijui nillete bata, mbuzi au kondoo hayo mambo hayapo
Tutamalizana pembeni jibaba, hapa hata ukiona nimekutukana basi wewe uchune tu, filamu kama hizi inabidi uekti kuliko tom kruzi, adhawaizi yule anko wake atakata mtu mzizi wa uzazi
 
Mkuu kwa hii spidi unayokwenda naona bora tucheze dili tu, nikatie changu halaf niuchune mazima wale anko na anti zake wasjue. Lakini hakikisha kidau kinakuwa cha haja adhawaizi nakulipua

katika siku zote za wewe kukaa hapa JF leo umeongea bonge la point na nakupa kredit zote..weka dau na mimi nakukatia hapa hapa unanipa mtoto wangu.dau lolote nakupe in cash lakini sio kuanza kuambiana sijui nillete bata, mbuzi au kondoo hayo mambo hayapo
:shock::shock::shock:
kha!
My uncle will not like this...
and you two will not like my uncle reaction:A S 100:
 
Ban yake iko karib sana huyu, tulia tu deskmate.

Tutamalizana pembeni jibaba, hapa hata ukiona nimekutukana basi wewe uchune tu, filamu kama hizi inabidi uekti kuliko tom kruzi, adhawaizi yule anko wake atakata mtu mzizi wa uzazi
So wewe unakula pesa za uncle wangu kwa mkono wa kulia,
unakula na za Ivuga mkono wa kushoto?
I just hope hizi hela unakusanya ni za kule kwa nyota!
vingine you are so dead yani! nitamwambia uncle!!!
 
ngoja nikaongee na tour company moja kuhusu mambo ya honeymoon mapema kabisa........naona tonge lipo mdomoni tayari ni kumeza tu..all respect kwa klorokwin kwa kunipa shortcut.
Mwali chagua mwenyewe twende kisiwa gani vile?
 
Ivuga mi nimekwambia kaongee na Uncle,
we unajifanya kuongea na Klorokwini
Uncle wangu akija kujua utaumia sana...
 
Ivuga mi nimekwambia kaongee na Uncle,
we unajifanya kuongea na Klorokwini
Uncle wangu akija kujua utaumia sana...

Tatizo la ankal masaa 18 yuko bwiiii, masaa sita yaliobakia anaangalia muvi na anti yako sasa bora hii kesi niimalize bodigad tu.
 
Back
Top Bottom