kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣
wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu unalikuta linalipa hiyo kodi hata bima ya afya hana.
Mimi nakumbuka niliwahi kuachana na demu mmoja mseng& nilikuwa ni kweli namlipia kodi ila huyo mseng& alikuwa anataka mimi nisiwe na chochote yani nilikuwa hata kuvaa kwangu shida kumamak& ila toka nimepigana nae chini nimepiga hatua kubwa halafu wale waseng& wanaenda hadi kwa waganga kukupiga juju🤣🤣🤣🤣
Quote
je wewe unaweza mlipia kodi mtu ambaye hujamuoa ??