Kuna masuala yanashangaza sana, kivipi ubebe jukumu la kumlea mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi. Huko wapi huo u-independent and u-strong woman ambao wanawake wanajitamba nao kila siku.
Kushamili kwa huu upuuzi wanaume pia tunastahiri lawama. Kwanini wanawake hawathamini tena kujitunza mpaka watakapoelewa? kwa sababu wanajua wakimalizana na umalaya wao kuna masimp kibao mtaani
Angalia alichokifanya Aziz kii, kaoa single mother wa watoto ambao kila mmoja ana baba ake, tena mtoto mmoja ana utata wa nani baba ake halisi. utaanzaje kuwafundisha mabinti wadogo na wakina dada umuhimu wa kujitunza wakati wanaona mpaka malaya mashuhuri mjini wanaolewa.