Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu

Baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa, Nataka nimpe huyu kokoo wangu zawadi ya nyumba kwenye kumbukumbu ya ndoa. Kama kuwa na mke/wake ni udhaifu nimekuwa dhaifu miaka mingi nimesahau maisha nje ya huo udhaifu.
 
Nikikumbuka nilimlipia kodi alafu akanifukuza kwake mchana kweupe ili amridhishe jamaa wa penzi jipya aliekuwa akiishi jirani sikuwahi kurudia kosa ilipoisha akaomba nmjazie afu 80, sikumpa na akatupiwa virago nje.
mkuu mimi siwezi kata ujinga design hiyo nishafanya sana ila tu kuna siku mmoja niliwahi jiuliza maswali haya matatu

•una passport ya kusafiria jibu ni ā€ŠNo
•una bima ya afya jibu ni No
•una kiwanja jibu ni No

Na hapo hata mtoto sina nikaona hapa sio pazuri
 
Baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa, Nataka nimpe huyu kokoo wangu zawadi ya nyumba kwenye kumbukumbu ya ndoa. Kama kuwa na mke/wake ni udhaifu nimekuwa dhaifu miaka mingi nimesahau maisha nje ya huo udhaifu.
Mimi zamani mtu akiambia dah mwanangu demu wangu au mke wangu tumeacha nilikuwa nashangaa sana huyu vipi itakuwa hana hela nini kumbe nilikuwa na miaka 40 ndo nikajua
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
mkuu mimi siwezi kata ujinga design hiyo nishafanya sana ila tu kuna siku mmoja niliwahi jiuliza maswali haya matatu

•una passport ya kusafiria jibu ni ā€ŠNo
•una bima ya afya jibu ni No
•una kiwanja jibu ni No

Na hapo hata mtoto sina nikaona hapa sio pazuri
Mkuu ulijiuliza maswali mazuri sana, anza nawewe kuyafanikisha mambo yako ndio wengine wafuate.

Ukiendekeza mapenzi utajichelewesha sana, utajikuta unawekeza kumuinua yeye alafu wewe unazidi kushuka na baada ya muda anaweza athithamini uliyomfanyia.
 
Wee kajamaa sema huna hela, siyo mbaya ukijikuna unapofikia. Kama una uwezo wa kutoa zawadi ya 10k inatosha. Mwenzako ana uwezo wa kutoa zawadi ya gari 60m. Ni uwezo wake, hakuna mjinga wala wala mjanja. Ni kupenda na uwezo.
Umenena vyema sana, jikune unapofikia.
 
Mkuu ulijiuliza maswali mazuri sana, anza nawewe kuyafanikisha mambo yako ndio wengine wafuate.

Ukiendekeza mapenzi utajichelewesha sana, utajikuta unawekeza kumuinua yeye alafu wewe unazidi kushuka na baada ya muda anaweza athithamini uliyomfanyia.
mkuu ni kwei ukiendekeza mapenzi jua wewe ni masikini wa uzeeni 🤣
 
Wanwake wa kiswahili hawana akili .

Mfano amepata bahati ya Kuwa na Diamond .

Hata asingempatia pesa yoyote Ila angeweza kuitumia hiyo platform kujilikana Kama Models n.k

Angepewa airtime na wasafi media , angepata deal mbali mbali za kuwa Balozi .

Demu anawaza mambo madogo Kama kula , kodi na kuvaa vitu ambayo haviwezi kubadilisha maisha yake.

Nilikuwa napenda Sana Ruge alichokuwa anawaambia hao wan awake zao kuwa anawapa airtime so waibadilishe hiyo iwe pesa , mfano zumaradi, Nandi n.k
 
Mimi zamani mtu akiambia dah mwanangu demu wangu au mke wangu tumeacha nilikuwa nashangaa sana huyu vipi itakuwa hana hela nini kumbe nilikuwa na miaka 40 ndo nikajua
Mwanamke akifanya ujinga usimuendekeze, timua ili akafanye huo ujinga kwa wengine, ila ukibahatisha mwanamke mzuri, usimtumie vibaya, mpe anachostahili.
 
Wee kajamaa sema huna hela, siyo mbaya ukijikuna unapofikia. Kama una uwezo wa kutoa zawadi ya 10k inatosha. Mwenzako ana uwezo wa kutoa zawadi ya gari 60m. Ni uwezo wake, hakuna mjinga wala wala mjanja. Ni kupenda na uwezo.
mkuu nina risiti za bank mpaka leo maana hiyo mazi ilikuwa inakaha apartment na pale kodi unalipia 250k per month huyo mseng€ ni hana shukurani bro
 
  • Kicheko

Uliokota janja janja weed ukaigharamia.
 
Wanwake wa kiswahili hawana akili .

Mfano amepata bahati ya Kuwa na Diamond .

Hata asingempatia pesa yoyote Ila angeweza kuitumia hiyo platform kujilikana Kama Models n.k

Angepewa airtime na wasafi media , angepata deal mbali mbali za kuwa Balozi .

Demu anawaza mambo madogo Kama kula , kodi na kuvaa vitu ambayo haviwezi kubadilisha maisha yake.

Nilikuwa napenda Sana Ruge alichokuwa anawaambia hao wan awake zao kuwa anawapa airtime so waibadilishe hiyo iwe pesa , mfano zumaradi, Nandi n.k
mtu asiye na akili hawezi ona hiyo fursa
 
Back
Top Bottom