Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu

Na usiombe uwe na wapangaji ambao kodi wanalipiwa(wadada) wanakuwa wasumbufu kulipa ukiwauliza wanasema bado sijapewa.
 
Kuna masuala yanashangaza sana, kivipi ubebe jukumu la kumlea mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi. Huko wapi huo u-independent and u-strong woman ambao wanawake wanajitamba nao kila siku.

Kushamili kwa huu upuuzi wanaume pia tunastahiri lawama. Kwanini wanawake hawathamini tena kujitunza mpaka watakapoelewa? kwa sababu wanajua wakimalizana na umalaya wao kuna masimp kibao mtaani

Angalia alichokifanya Aziz kii, kaoa single mother wa watoto ambao kila mmoja ana baba ake, tena mtoto mmoja ana utata wa nani baba ake halisi. utaanzaje kuwafundisha mabinti wadogo na wakina dada umuhimu wa kujitunza wakati wanaona mpaka malaya mashuhuri mjini wanaolewa.
 
kuna msemo unasema eti miti inaongea maana yake wanatumia uchawi
 
halafu hawa viumbe kadri unavyokuwa mwema kwao ndiyo wanakushusha kumamak€ kweli
Siku zote wanawake wanataka kile ambacho mwanaume huna. Ukiweza timiza na ikishindikana mute endelea kuutunza mwili wako na akili yako.
 
Diamond kwa sasa ni mjasiriamali. Hata mahusino yake anayaweka kwenye ujasiriamali. Wanawake wote ambao hawamuingizii pesa anawapiga chini faster.

Zari alikuwa content nzuri kwenye biashara zake za media na platforms mbalimbali za mitandao ya kijamii. Mnakumbuka ile whiteparty iliyofanyika Mlimani City ikifanywa kwa ushirika wa clouds? Iliingiza pesa ndefu hata kama ilionekana kuna watu walipigwa. Zari alikuwa mwanamke mgodi kwa Diamond. Pesa ya kumhonga na kumspoil Zari ilitokana na Zari mwenyewe.

Zuchu pia ni mgodi kwa Diamond. Pesa anazomhudumia zuchu zinatoka kwa Zuchu mwenyewe. Zuchu ni mgodi. Amewekeza pesa sasa hivi mgodi unatema pesa na ndio maana inamsumbua sana kumuacha. Diamond hiyo tabia kamfundisha the African boy. Ili mwanamke ahudumiwe lazima azalishe pesa ya kuhudumiwa ila bila kujijua.

Sasa angalia group la hao wengine, Kwa mjasiriamali Diamond anawaona kama chuma ulete hawezi kaa nao.
 
kuna lijamaa langu nae liliwahi kumgharamia demu kwa kila kitu mwisho wake kaenda kuolewa uarabuni huko 🤣🤣
 
Kusomesha pia ni mwiko hata kama ni mkeo otherwise ana watoto wa 3
 
Vijana jiwekeni vizuri kwenye ishu ya mitishamba. Dada zenu haawadharau mambo ya kimila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…