Suala la kumiliki klabu ya mpira zaidi ya moja

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Tuzifahamu baadhi ya makampuni yanayomiliki timu zaidi ya moja duniani

1) The City Football club (CFG)

Hawa jamaa wanamiliki timu 13 ambazo ni
  • Man city ( Eng)
  • New York City fc (USA)
-Melbourne FC (Australia)
- Yokohama F. Marinos (Japan)
-Montevideo City Torque (Uruguay)
-Girona (Spain)
-Mumbai City (India)
-Sichuan Jiuniu (China)
  • Lommel (Belgium)
  • Troyes (France)
  • Palermo (Italy)
  • Bahia (Brazil)
  • Club Bolivar (Bolivia)

2)New City Capital and Pacific Media Group
Hawa wanamiliki timu 8
  • Barnsley (England)
  • Thun (Switzerland)
  • Oostende (Belgium)
  • Nancy (France)
  • Esbjerg (Denmark)
  • Den Bosch (Netherlands)
  • Kaiserslautern (Germany)
-Tychy (Poland)

3) Red Bull
Wana miliki timu 4
  • RB Leipzig (Germany)
  • New York Red Bulls (US)
  • RB Bragantino (Brazil)
-RB salzburg (Austria)

4) King power international

  • Leicester City ( England)
  • Leuven (Belgium)

5) Eagle Football Holdings
  • Crystal Palace (England)
  • Olympique Lyonnais (France)
  • Botafogo (Brazil)
  • Molenbeek (Belgium)
  • Florida (USA

6) INEOS sports group
  • Manchester united (England)
  • Nice (France)
  • FC Lausanne-Sport (Switzerland)

Case 1
Kulingana na list inaonesha ni sahihi kampuni au mtu mmoja kumiliki timu zaidi ya moja lakini sio katika taifa moja (ligi moja). Labda kama wajuzi wengine wanaweza kutoa mifano ya timu zinazotokea nchi moja kumilikiwa na kampuni moja au mtu mmoja basi anaweza kuniweka sawa katika hili.

Case 2
Upande wa kampuni au mtu mmoja kumiliki timu huku ikidhamini timu ndani ya ligi moja hapa nimeona case moja pekee ambapo INOES ambao wanamiliki Manchester united ni mmoja wa wadhamini wa Tottenham Hotspur. Hapa wajuzi wengine mnaweza kutoa mifano ya mazingira kama hayo kama yapo makampuni mengineyo yaliyofanya hivyo.

Case 3
Kudhamini timu zaidi ya moja ( main sponsor) katika timu zinazoshiriki ligi moja.

Mdhamini mkuu ndiye anayeonekana mbele ya jezi, hapa kama tuna kumbukumbu hapo awali Simba na Yanga walikuwa na mdhamini mmoja ambaye ni sportspesa. Hili ni wazi kuwa hakuna uvunjifu wa sheria kampuni moja kudhamini timu zaidi ya moja.

Kwa wanaofuatilia soka la uingereza watakumbuka msimu wa 2018/2019 ambapo timu tano za championship zilidhaminiwa na kampuni moja ya online casino inayoitwa 32Red. Timu hizo zilikuwa ni Leeds, Aston villa, Derby, Preston na Middlesbrough hivyo hakuna kosa kisheria kwa kampuni moja kuwa mdhamini mkuu wa klabu zaidi ya moja wanaoshiriki michuano ya ligi moja.

Sasa tuje kwenye soka letu hasa kwenye swala zima linalopigiwa kelele na watu wengi hasa mashabiki wasiokuwa wa Yanga kuhusiana na GSM.

Je GSM ni mdhamini au mmiliki wa Yanga?
GSM ni muendeshaji wa shughuli zote zinazoihusu timu ya Yanga, ni kama kampuni inayowekeza katika timu ya Yanga kinyemela (sio rasmi) kipindi ambacho mfumo wa mabadiliko haujakamilika.

Ili kuitendea haki soka letu, na kuiheshimu ligi yetu kuna haja ya TFF na bodi ya ligi kuangalia swala zima la udhamini wa GSM kwa timu nyingi kiasi hiki katika msimu ujao, ni bora hata ingekuwa ni timu mbili angalau.

Siwezi kusema kama kuna upangaji wa matokeo ila ifikie wakati ligi yetu iwe katika weledi na kuondoa mazingira yakufikirika na mashaka kama ilivyo sasa.

Kwasasa wadau wengi wa soka wanaamini kuwa Yanga ikicheza na timu inayo dhaminiwa na GSM basi ni mechi ya mipango hiyo.

Kuna umuhimu wa wadau wa soka kutoa credit ya ubora wa Yanga kupitia mazingira fair kabisa pasipo kuwa na mashaka ya namna yoyote ile, hii itaipa timu hadhi yake. Pia kama kuna ukweli juu ya upangaji wa matokeo basi hilo jambo halitakuwa na afya kwa timu kwa mashindano ya kimataifa.
 
-RB salzburg (Australia)

Wenyewe wana utopolo wanaona ni sawa kinachofanyika wakati ni mazingira yanayotoa mwanya wa upangaji matokeo. Ni wizi wa mchana kweupe.
 
Tatizo kubwa ni Simba kutokukubali uwezo wa Yanga.

Period.

Siku Simba ikija kukubali kwamba Yanga ni timu bora kuliko wao haya yote yanayolalamikiwa utoyasikia.

Simba wanaamini Yanga akishinda ashindi kwa uwezo wake bali kwa mipango kitu ambacho sio sahihi.

Uzuri mpira ni mchezo wa wazi timu inapocheza kila mtu anaona kama timu ni mbovu kila mtu anaiona na kama ni nzuri kila mtu anaiona.

Simba wanatafuta kila uongo ku justify kufungwa kwao na Yanga mara nne mfululizo kwamba si kwa haki.

Ubaya ni kwamba takwimu zinawagomea.

Simba kafungwa 5 na Yanga wakaibuka wanazi wa Simba wakaanza kusema Simba kuna maduka kitu ambacho si kweli ila ni ubovu tu wa timu.

Matokeo yake akafungwa nje ndani na al akhly na kuondoshwa klabu bingwa Africa.

Hiyo haitoshi wakashindwa kumaliza nafasi ya pili ligi kuu wakajikuta wanadondokea shirikisho kwenye timu zenye uwezo mdogo.

Mpaka hapo walitakiwa waone timu yao bado sio nzuri cha ajabu wanaona wana timu na Yanga akishinda wanafanya ujanja kisa GSM anadhamini timu nyingi!

Ukiwauliza hata nyinyi Simba mlifungwa na Yanga je mnadhaminiwa na GSM wanakwambia kuna maduka hawasemi uwezo wetu mdogo Yanga katuacha mbali!

Hii Habari ya GSM anadhamini timu nyingi itafikia kikomo siku Simba akikubali kwamba Yanga ni bora kuliko wao.
 
Wao wenyewe Tff wanalipwa mishahara na GSM wataangalia kitu gani hapo!
 
Hiyo haitoshi wakashindwa kumaliza nafasi ya pili ligi kuu wakajikuta wanadondokea shirikisho kwenye timu zenye uwezo mdogo.
Kwahiyo unaamini shirikisho ni timu zenye uwezo mdogo?
Kama shirikisho ni uwezo mdogo na nyie yanga ni bora mbona hamkuchukua kombe? Kwenye uwezo mkubwa mmeshindwa kufika hata robo maanayake sio level zenu si ndio?
 
Hakuna anayefurahia kucheza shirikisho.

Huko ni kwa ajili ya timu ndogo tu unabisha hata hili?
 
Tatizo kubwa ni Simba kutokukubali uwezo wa Yanga.

Period.

Siku Simba ikija kukubali kwamba Yanga ni timu bora kuliko wao haya yote yanayolalamikiwa utoyasikia.

Simba wanaamini Yanga akishinda ashindi kwa uwezo wake bali kwa mipango kitu ambacho sio sahihi.

Uzuri mpira ni mchezo wa wazi timu inapocheza kila mtu anaona kama timu ni mbovu kila mtu anaiona na kama ni nzuri kila mtu anaiona.

Simba wanatafuta kila uongo ku justify kufungwa kwao na Yanga mara nne mfululizo kwamba si kwa haki.

Ubaya ni kwamba takwimu zinawagomea.

Simba kafungwa 5 na Yanga wakaibuka wanazi wa Simba wakaanza kusema Simba kuna maduka kitu ambacho si kweli ila ni ubovu tu wa timu.

Matokeo yake akafungwa nje ndani na al akhly na kuondoshwa klabu bingwa Africa.

Hiyo haitoshi wakashindwa kumaliza nafasi ya pili ligi kuu wakajikuta wanadondokea shirikisho kwenye timu zenye uwezo mdogo.

Mpaka hapo walitakiwa waone timu yao bado sio nzuri cha ajabu wanaona wana timu na Yanga akishinda wanafanya ujanja kisa GSM anadhamini timu nyingi!

Ukiwauliza hata nyinyi Simba mlifungwa na Yanga je mnadhaminiwa na GSM wanakwambia kuna maduka hawasemi uwezo wetu mdogo Yanga katuacha mbali!

Hii Habari ya GSM anadhamini timu nyingi itafikia kikomo siku Simba akikubali kwamba Yanga ni bora kuliko wao.
Na leo wanasema Mashujaa kafungwa mkono kwavile ni familia ya GSM.
 
kuhusu tottenham wanaelekea mazungumzo ya kuvunja mkataba mapema zaidi kabla ya ukomo wake sababu wakati wananunua hisa man utd tayari ineos alishakuwa na mkataba na hotspur.
 
Tuzifahamu baadhi ya makampuni yanayomiliki timu zaidi ya moja duniani

1) The City Football club (CFG)

Hawa jamaa wanamiliki timu 13 ambazo ni
  • Man city ( Eng)
  • New York City fc (USA)
-Melbourne FC (Australia)
- Yokohama F. Marinos (Japan)
-Montevideo City Torque (Uruguay)
-Girona (Spain)
-Mumbai City (India)
-Sichuan Jiuniu (China)
  • Lommel (Belgium)
  • Troyes (France)
  • Palermo (Italy)
  • Bahia (Brazil)
  • Club Bolivar (Bolivia)

2)New City Capital and Pacific Media Group
Hawa wanamiliki timu 8
  • Barnsley (England)
  • Thun (Switzerland)
  • Oostende (Belgium)
  • Nancy (France)
  • Esbjerg (Denmark)
  • Den Bosch (Netherlands)
  • Kaiserslautern (Germany)
-Tychy (Poland)

3) Red Bull
Wana miliki timu 4
  • RB Leipzig (Germany)
  • New York Red Bulls (US)
  • RB Bragantino (Brazil)
-RB salzburg (Australia)

4) King power international

  • Leicester City ( England)
  • Leuven (Belgium)

5) Eagle Football Holdings
  • Crystal Palace (England)
  • Olympique Lyonnais (France)
  • Botafogo (Brazil)
  • Molenbeek (Belgium)
  • Florida (USA

6) INEOS sports group
  • Manchester united (England)
  • Nice (France)
  • FC Lausanne-Sport (Switzerland)

Case 1
Kulingana na list inaonesha ni sahihi kampuni au mtu mmoja kumiliki timu zaidi ya moja lakini sio katika taifa moja (ligi moja). Labda kama wajuzi wengine wanaweza kutoa mifano ya timu zinazotokea nchi moja kumilikiwa na kampuni moja au mtu mmoja basi anaweza kuniweka sawa katika hili.

Case 2
Upande wa kampuni au mtu mmoja kumiliki timu huku ikidhamini timu ndani ya ligi moja hapa nimeona case moja pekee ambapo INOES ambao wanamiliki Manchester united ni mmoja wa wadhamini wa Tottenham Hotspur. Hapa wajuzi wengine mnaweza kutoa mifano ya mazingira kama hayo kama yapo makampuni mengineyo yaliyofanya hivyo.

Case 3
Kudhamini timu zaidi ya moja ( main sponsor) katika timu zinazoshiriki ligi moja.

Mdhamini mkuu ndiye anayeonekana mbele ya jezi, hapa kama tuna kumbukumbu hapo awali Simba na Yanga walikuwa na mdhamini mmoja ambaye ni sportspesa. Hili ni wazi kuwa hakuna uvunjifu wa sheria kampuni moja kudhamini timu zaidi ya moja.

Kwa wanaofuatilia soka la uingereza watakumbuka msimu wa 2018/2019 ambapo timu tano za championship zilidhaminiwa na kampuni moja ya online casino inayoitwa 32Red. Timu hizo zilikuwa ni Leeds, Aston villa, Derby, Preston na Middlesbrough hivyo hakuna kosa kisheria kwa kampuni moja kuwa mdhamini mkuu wa klabu zaidi ya moja wanaoshiriki michuano ya ligi moja.

Sasa tuje kwenye soka letu hasa kwenye swala zima linalopigiwa kelele na watu wengi hasa mashabiki wasiokuwa wa Yanga kuhusiana na GSM.

Je GSM ni mdhamini au mmiliki wa Yanga?
GSM ni muendeshaji wa shughuli zote zinazoihusu timu ya Yanga, ni kama kampuni inayowekeza katika timu ya Yanga kinyemela (sio rasmi) kipindi ambacho mfumo wa mabadiliko haujakamilika.

Ili kuitendea haki soka letu, na kuiheshimu ligi yetu kuna haja ya TFF na bodi ya ligi kuangalia swala zima la udhamini wa GSM kwa timu nyingi kiasi hiki katika msimu ujao, ni bora hata ingekuwa ni timu mbili angalau.

Siwezi kusema kama kuna upangaji wa matokeo ila ifikie wakati ligi yetu iwe katika weledi na kuondoa mazingira yakufikirika na mashaka kama ilivyo sasa.

Kwasasa wadau wengi wa soka wanaamini kuwa Yanga ikicheza na timu inayo dhaminiwa na GSM basi ni mechi ya mipango hiyo.

Kuna umuhimu wa wadau wa soka kutoa credit ya ubora wa Yanga kupitia mazingira fair kabisa pasipo kuwa na mashaka ya namna yoyote ile, hii itaipa timu hadhi yake. Pia kama kuna ukweli juu ya upangaji wa matokeo basi hilo jambo halitakuwa na afya kwa timu kwa mashindano ya kimataifa.
Kudhamini timu nyingi siyo tatizo, tatizo ni uvivu wa kufikiri endepo matokeo ni mabaya, ila kwa Tanzania bodi ya Ligi wahusika wakapimwe mkojo kwa mkemia mkuu
 
Mkuu kwanini umesema kwa Tanzania bodi ya ligi wahusika wakapimwe mkojo ilihali hapo juu umesema kuwa kudhamini timu nyingi sio tatizo?
 
Kwani timu za mpira hudhaminiwa na bodi ya Ligi?

Kwenye jumuia ama watu wengi huwezi kukomesha uhalifu bali una dhibiti kwamaana hiyo bodi ya ligi Ndiyo kazi yake

Kama marefa wanafanya makosa ya makusudi ama maamuzi ya hovyo lakini anaye nyoshewa kidole ni mdhamini badala ya bodi ya Ligi hapo ni kukosa akili

Waamuzi, (marefa), mara nyingi tunadhami hawana maamuzi ya haki lakini bodi ya Ligi Iko kimya ambayo kazi yao Ndiyo hiyo inawezekana wanafanya maamuzi ya haki kama SI kweli nini kifanyike

Swali ni nani anayetakiwa kuangalia namna Bora ya kuboresha Ligi yetu kwa maana uboreshaji Ligi yetu ni pamoja na maamuzi ya haki uwanjani siyo matokeo ya uwanjani tu kwakifupi lazima kuwe na sheria ili kukidhi haja ya mashindano na wanao takiwa kuhakikisha sheria zinafutwa ni bodi ya ligi

Mbona hupatikani mchezaji bora wa mchezo husika lakini hakuna muangalizi Bora wa mechi ama refa, kwanini hatajwi hata refa bora wa wiki
 
Badala ajenge shule au hospitali.ili zikomboe Watanzania yeye anaqeleza kwenye ma michezo ya mpira wa miguu. Anazidiwa mpaka na lugumi anajenga nyumba za watoto Yatima?
 
Kwani timu za mpira hudhaminiwa na bodi ya Ligi?

Kwenye jumuia ama watu wengi huwezi kukomesha uhalifu bali una dhibiti kwamaana hiyo bodi ya ligi Ndiyo kazi yake

Kama marefa wanafanya makosa ya makusudi ama maamuzi ya hovyo lakini anaye nyoshewa kidole ni mdhamini badala ya bodi ya Ligi hapo ni kukosa akili

Waamuzi, (marefa), mara nyingi tunadhami hawana maamuzi ya haki lakini bodi ya Ligi Iko kimya ambayo kazi yao Ndiyo hiyo inawezekana wanafanya maamuzi ya haki kama SI kweli nini kifanyike

Swali ni nani anayetakiwa kuangalia namna Bora ya kuboresha Ligi yetu kwa maana uboreshaji Ligi yetu ni pamoja na maamuzi ya haki uwanjani siyo matokeo ya uwanjani tu kwakifupi lazima kuwe na sheria ili kukidhi haja ya mashindano na wanao takiwa kuhakikisha sheria zinafutwa ni bodi ya ligi

Mbona hupatikani mchezaji bora wa mchezo husika lakini hakuna muangalizi Bora wa mechi ama refa, kwanini hatajwi hata refa bora wa wiki
Swala la uamuzi mbovu umeshapigiwa kelele na wadau wengi sana wa mpira na kila timu imenufaika au imeonewa kwa maamuzi mabovu sio Simba wala sio Yanga wala sio Azam pekee bali ni timu zote kwa ujumla wameonja athari ya waamuzi wabovu.

Nilichokiwakilisha hapa ni jambo la kivyetu vyetu kampuni moja inayomiliki timu ikawa mdhamini wa timu zaidi ya tano. Je jambo kama hilo uliliona wapi? Jambo hilo ndilo linalowapa watu mashaka hivyo hata Yanga ikishinda kwa uwezo wake, watu hawawezi kuamini. Swala la waamuzi wabou ni swala la kushugulikia ila hili GSM ambaye anafahamika nguvu zake kwa Yanga, kudhamini timu nyingi kiasi hiki ni la kushugulikia msimu ujao.
 
Nadhani ni akili mgando tu, swali je Simba ilipofungwa goli 5 na yanga ina maana Simba inadhaminiwa na GSM

Vile vile camara aliporudisha mpira ndani uliokuwa unatoka uliopigwa na chama halafu nzengeli akauweka kambani ilifanyika hivyo na Simba ili yanga ishinde kwasababu inadhaminiwa na GSM, (kumfurahisha mdhamini GSM)

Udhamini lengo lake ni kunadi bidhaa ama biashara, (advertisment), kumbe hizi timu zinazo dhaminiwa huwa zinapunguziwa gharama za uendeshaji matokeo yake kuweza kukabiliana na ushindani uliopo matokeo ya ujumla Ligi yetu imepanda kiwango
 
Kweli tunaiomba serikali Elimu itolewe asee. Kweli tunashindwa kutofautisha OWNERSHIP na SPONSORSHIP?

Kwa hiyo GSM anamiliki Mashujaa Fc? Imekuaje Kampuni Binafsi ikamiliki timu ya Jeshi?
 
Samahani mleta mada,GSM asipozidhamini hizo timu nane, utazidhamini wewe? Shida mnaandika huku umekaa kwenye kibaraza umeshiba maembe.Coastal Union tuichukulie mfano, kabla ya udhamini huu,ilikuwa inatoka Tanga kuja kucheza na Simba siku moja kabla ya game, Dar wanafika may be saa 2 asubuhi alafu saa 10 wana game, Simba akijipigia goal 8 anajipiga kifua eti team bora. lakini wamepata udhamini bora, mambo yamekuwa sawa kila mmoja wetu anaona eti jamaa anataka GSM asizidhamini team hizi, mleta mada unataka kuturudisha nyuma. changaule
 
Back
Top Bottom