Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

[emoji23][emoji23][emoji23] htr sn
 
Mi Bora aninyime tu Kuna Ile kauli mnadinyana mtu anakwambia nimechoka. Brro kama unajuwa Bora uache Hadi mtu anatoa kauli hiyo ujuwe Hana feeling na wewe kabisa yaaani ye anahisi maumivu tu.
[emoji23] km ni kweli bc nmechokwa na kila m/mke niliyenyanduana nae kbsaa, maana hii kauli nishaizoea maskioni mwang sasa dah
 
Hayo yote cha msingi hapo ni hela
 
wanaume wahongaji ni viumbe viharibifu kabisa na vyenye low IQ katika specie ya wenye uume, yaani wala low self esteem hawajiamini mbele ya msichana bila kujibaraguza na hela au gari....
 
wanaume wahongaji ni viumbe viharibifu kabisa na vyenye low IQ katika specie ya wenye uume, yaani wala low self esteem hawajiamini mbele ya msichana bila kujibaraguza na hela au gari....
Mkuu ndiyo Dunia ilipofikia, huoni wakina Bill Gates bado wanamwaga mpunga.

Kifupi Wanaume tumeumbiwa kutoa Mkuu
 
Mkuu ndiyo Dunia ilipofikia, huoni wakina Bill Gates bado wanamwaga mpunga.

Kifupi Wanaume tumeumbiwa kuto
kuna tofauti yakuhonga kaka nakutoa...mimi nasupport mno utoaji maana ndivyo nilivyo...yaani mwanamke naweza mpa maisha yote ila kama amenipa moyo wake bila condition kwamba nimpe hiki au nimfanyie kile....mimi demu anayenikubali nakunipa moyo mwili na akili zake bila kujali nimempa nini au nimpe nini huyo huwa namfanyia makubwa ambayo hata angeomba asingefikiria nitamfanyia....ila wale wa ntumie hela kwanza nione uko serious hao ndio nawakatiaga kule
 
Hahaha.........tuishi nao kwa akili
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pole sana mkuu ila its high time. You gotta find something good for your health bruh!
 
Wahenga walisema; MKE MMOJA HUDUMAZA AKILI
 
We ni mkurya?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…