Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka.

Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
😅😅Haiombwi ivyo mkuu ongeza ubunifu
 
Si heri ANinyime tu, wengine anakunyima na mkilala anajifanya anajiweka sawa matakk yake yote anayaleta kwenye chululuuu...

Sasa bora awe kalala na nguo nzito ila ni night dress hiyo atakugusisha zigo lake na ukimgusa Hataki.

Yani wana torturing ambayo unaweza jichukulia maamuzi mkononi ukaonekana Mbakaji.
😂😂Chululu
 
Mchana wote mke hajaona dalili ya upendo hata kidogo, hakuna msg wala simu umwambie mkeo neno zuri zuri... Mnatoka kazini mume hujaona hata pipi njiani pia hata karanga ya 500? Unafika nyumbani hujui hata neno moja tamu la kumwambia mke... hata kumkonyeza hakuna...hata kumbambia mmekutana koridoni kidogo hakuna! Mnapanda kitandani ndio unakumbuka kuwa una mke unatia tia tu kama kuku unamaliza unageukia pembeni unakoroma...jinga kabisa wewe. Kesho yake ukiomba tena lazima unyimwe. Wote mnaolalamika huu ndio utaratibu wenu katika mapenzi. Ninakotoka mimi ni aibu kubwa mume kulalamika amenyimwa unyumba.
Waaaambieeee haooo...wanadhani wameoaa marobot😏😏
 
Ukinyimwa unyumba na mke mwanaume unawesa kuwa na hasira mpaka ukahisi Dunia yote inakuelemea.
Tena anae kunyima una kuta hajali na wala hana muda na wewe kabisaa.

Mi wangu alivyo ni nyima nikamuundia kosa niliponda sura yake na mabanzi akaumuka.
Baadae nika bembeleza akanipa unyumba.Kati kati ya Show nika mchana ukiwa una ninyima nakuwa na hasira sana hivyo usininyime maana naweza kuvunja meno ya mbele.

Tangu hapo mi show nabonda muda wowoteeee
Umetisha Sana mkuu 😂
 
Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini.

Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka.

Kuna wanawake ni pasua kichwa sana
Mletee mwenzie kaka stress za nn. .hela utafute kwa jasho mbususu nayo changamoto halafu mkeo. ..cku inayofuata tu atajua kuna mwenzie
 
Ongeza mke kaka ataheshimu zamu yako ,wanawake wanahitaji mapumziko lakini kimaumbile mwanume anahitaji tendo kila anaposhiba chakula ...so utateseka sana mwisho utumbukie kwenye michepuko .....mwanaume bila matara ni sawa na gari lenye tairi moja...safari itakuwa ngumu mzigo utakushinda kuubeba
 
Back
Top Bottom