Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

Hahaha..........nitafurahi ukiniletea hiyo Kiko Mjukuu, maana Babu yako nina arosto sana leo 😊

Kuna mambo sio rahisi kuyakuta kwa Vijana wa miaka hii as wengi hawakufundishwa, kama Wazee tumeona tuwapitishe kidogo πŸ€ͺ
Wafundishe hawa vijana hawajui kitu
 
Kauli hizi:

Nimechoka
Humalizi tu na wewe
Mbona hukojoi
Basi maliza na wewe
Kojoa basi na wewe

Ukisikia hivyo jua hapo umedandia mtumbwi wa Vibwengo
Na huwa zinaondoa sana mood ya tendo.

Kwa utafiti usio rasmi, Wanawake wa Pwani wengi huwa wako ready muda wowote.

Na kama utakuwa humnyimi vihela vya Madera mapya na elfu 5 tano za vikoba kila wiki basi utakuwa unapewa hadi useme umechoka πŸƒπŸƒ
 
tumia akili mzee jifanye hutaki kabisa hiyo kitu ndoa ni uvumilivu mwingi, akiona hivyo utajikuta anakuangushia mguu au mkono huku hana hata night dress ,ukipewa ni vitendo tu usiongee unamkunja haswa
 
Hayo matatizo utayakuta kwenye ndoa za kikiristo lakini ndoa za kiislamu huwezi kuyakuta wanajua ukizingua mme anaongeza make mwingine.
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Kumbe kuna kunyimwa tena, ngoja niendelee kuchukua notice ili nikija kuingia kwenye ndoa nichukulie baridaa
 
Mlooa mnateseka,poleni,
 
Mwanamke akikunyima unyumba usimchukulie serious wala kuonyesha umemind, ukijichanganya atajua hiyo ndiyo fimbo ya kukuchapia na hakuna rangi utaacha ona maana hawanaga nguvu ya kutupiga wanatunyima chini ili kutuchapa kisaikolojia nakutukomoa cz wanajua wanaume tunapenda sana chini kwao

Ukinyimwa kausha alafu endelea na mambo mengine fanya kama hujui kilicho tokea, then kesho yake angalia kwenye file lako kamchepuko nenda kapooze moyo huko, ukirudi endelea na maisha yako na hata akikusogezea tulia tuli usishtuke.

Ukifanya hivyo atakosa kujiamini na atabaki kujiuliza au kuna mtu anakupa huko nje akikunyima, ukiona anajileta wewe mkazie kabisa endelea na mambo yako onyesha huna shida na kitu yake ila huduma zingine ziendelee kama kawa.

Uvumilivu utamchoka na mwisho wasiku lazima atafunguka mwenyewe na kuikali kwa uchungu, akifanya hivyo piga ila usionge chochote kula mzigo ukimaliza endelea na mishe zako,

hakika ukizingatia hili hatokaa arudie tena kukunyima.

ILA HAKIKISHA USIWE UNAWAKAUSHIA MADEMU WA NJIANI HATA KAMA UNAMKE , HUKO NDIKO TUNAKO PONEAGA
 
Thread hii ya saa 12 alfajiri. ....sina la kusema zaidi ya kukwambia Pole πŸ˜…
 
Kwenye uchumba ilikuaje?
 
Mkuu mbona huo ni kama ubakaji sasa!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…