Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

Natamani rais ajaye toka bara atafute Mzanzibar mmoja maarufu amtese kwa kumfunga mpaka miaka 10 ya urais wake uishe ili kulipa kisasi.
Bila hivyo hawa Wazanzibar watatuonea sana
Hakuna haja ya hivyo maana haileti faida yoyote zaidi ya laana na mikosi ya kijinga, muungano uvunjike tu kila mtu apambane kivyake.
 
Hata mateka wa kivita hawanyimwi chakula.

Prisoners of war (POWs) are protected by the Third Geneva Convention of 1949, which mandates they be treated humanely, respected, and protected from violence, insults, and public curiosity. They must receive adequate food, shelter, medical care, and the right to communicate with family.
 
Hakuna haja ya hivyo maana haileti faida yoyote zaidi ya laana na mikosi ya kijinga, muungano uvunjike tu kila mtu apambane kivyake.
Usivunjike kabla ya kuwatesa hawa jamaa wametufanya bibi zao. Tukishawatesa ndiyo tuuvunje. Tena tuwachochee ASP wapigane na ZPPP/ZNP maana vita yao imelala tu siku yoyote itaamka
 
Hii kesi waimalize wamuachie huru au wamtie hatiani mapema.
Vyovyote vile watakavyo fanya inakuwa faida kwa Lissu na chama chake. Akiitisha maandamano Sasa kwa mdomo wake wataandama Hadi viwete na wazee.

Kwa sababu kadiri wanavyo mpa jukwaa la kuongea mahakamani bila kubughudhiwa na polisi kama wamfanyiavyo kwenye majukwaa ya siasa uraiani anazidi kuibua mambo mengi na kuamsha hisia kali. Inakuwa mbaya kwa watesi wake na serikali kiujumla hasa Magereza, Mahakama na Polisi.
 
Mkuu, jibu la swali uliloanza nalo ni hili: hao viumbe ni mchanganyiko, yaani uzao wa majini na binadamu! Teba wengine wameingia kabisa makubaliano na mashetani, wanazini nao, wanakunywa nao damu za watu nk.
Hivi kwa akili ya kawaida samuya na kikwete wangekuwa binadamu halisi huu uovu ungeendelea?!
 
Tumerudi tayari.

Majaji wameingia, na Mhe. Lissu nae karudi.

Kwa dalili zilivyo naona ni kama Mhe. Lissu hajapatiwa Chakula, sijui lakini ngoja tusikie.

Majaji wanaandika kidogo pale.

Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude anasema uwakilishi wetu kama ulivyokuwa awali, tuko tayari kama ameshakula labda tumsikilize.

Mhe. Lissu: Mhe. Jaji sijala lakini naomba tuendelee tu ivo ivo maana issue ya mimi kupewa chakula imeshindikana.

Magereza wamekataa kunipatia Chakula. wamesema nitaenda kula Gerezani.

Majaji ni kama wamekasirika au wamechanganyikiwa hapa.

Renatus Mkude amemuita askari Magereza wanaongea ongea hapa sijui wanaongea nini?

Jaji Ndunguru anasema Chakula ni haki ya msingi kabisa na haitakuwa sahihi kuendelea na shauri hili bila mshitakiwa kupatiwa Chakula.

Wenzetu wa Magereza mzingatie kuleta Chakula, itakuwa ni kinyume cha haki za binadamu kumnyima mshitakiwa chakula.

Tunaomba kuahirisha hadi kesho saa tatu asubuhi na mtakumbuka tulisema shauri litasikilizwa hadi saa 11 jioni.

Kuanzia kesho hakikisheni anapata Chakula Mchana.

Nahairisha kesi hii hadi kesho saa tatu kamili asubuhi. 13/02/2026.
 
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI

Part 167

Muhalifu kama Lissu hadi muda huu ilitakiwa awe amenyongwa na siyo kuendelea kuwamalizia chakula mahabusu huko gerezani.
 
Kikubwa amekula chakula la roho hii miili tunailingia lakini ni uozo mtupu roho ikiondoka ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…