Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

Kikubwa amekula chakula la roho hii miili tunailingia lakini ni uozo mtupu roho ikiondoka ..
Tumerudi tayari.

Majaji wameingia, na Mhe. Lissu nae karudi.

Kwa dalili zilivyo naona ni kama Mhe. Lissu hajapatiwa Chakula, sijui lakini ngoja tusikie.

Majaji wanaandika kidogo pale.

Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude anasema uwakilishi wetu kama ulivyokuwa awali, tuko tayari kama ameshakula labda tumsikilize.

Mhe. Lissu: Mhe. Jaji sijala lakini naomba tuendelee tu ivo ivo maana issue ya mimi kupewa chakula imeshindikana.

Magereza wamekataa kunipatia Chakula. wamesema nitaenda kula Gerezani.

Majaji ni kama wamekasirika au wamechanganyikiwa hapa.

Renatus Mkude amemuita askari Magereza wanaongea ongea hapa sijui wanaongea nini?

Jaji Ndunguru anasema Chakula ni haki ya msingi kabisa na haitakuwa sahihi kuendelea na shauri hili bila mshitakiwa kupatiwa Chakula.

Wenzetu wa Magereza mzingatie kuleta Chakula, itakuwa ni kinyume cha haki za binadamu kumnyima mshitakiwa chakula.

Tunaomba kuahirisha hadi kesho saa tatu asubuhi na mtakumbuka tulisema shauri litasikilizwa hadi saa 11 jioni.

Kuanzia kesho hakikisheni anapata Chakula Mchana.

Nahairisha kesi hii hadi kesho saa tatu kamili asubuhi. 13/02/2026.
 
Lisu alidhani jela ni hotel sasa ndio ajue kukinukisha

USSR
Ww ndio unadhani haki ya chakula ipo hotelini tu. Kwa taarifa yako Lisu hana tatizo kubwa la kukosa chakula ndio maana akataka waendelee na kesi. Na amesema kabisa amesema hayo si kwa ajili yake tu, bali kwa mahabusu wengine.

Yeye amecheza kete zake vizuri kuwa hao majaji na mawakili wa serekali wasujiachie kwa chakula na kumpotezea muda kwa kuwa wao wanashiba. Iko siku kibao kitageuka hivyo anaweka record sawa wasianze kujiliza.
 


Mtu mzalendo asije mlarushwa , mwenye kipaji kikubwa ndiyo kafungwa. Tunaongozwa na kilaza, mwizi wa kura, wauaji na vilaza. Kuna tatizo hapa
 
Magereza walikuwa wanajua kwamba Kesi itaendelea Hadi SAA 11 jioni na Lissu sio mfungwa Bali mahabusu.

Wengine wanakuwa yeye Hali , akili utapata wapi nguvu za kujitetea vizuri, au ndio njia iliyobaki, ili a salimi amri
 
Siwezi ku-imagine Samia akiona vitu kama hivi anajisikiaje! Kama kusimama ngangari na kulinda uraisi wako ndio kukabiliana na vitu hivyo basi siutaki kwa kweli!

Seriously, hata kama Samia alipata 99% ya kura, anajisikiaje watu wanavyouchukulia uraisi wake ndani na nje ya nchi? Ana amani kweli? Mtu unaweza kuishia kuwa mlevi wa kupindukia kupoteza mawazo ukikabili mambo kama haya
 
Mimi pia niliwahikwenda mahakamani jioni usafiri ukazingua, Ile tunafika jela msosi hakuna wakati resheni yetu ilishawekwa, yashukuliwe maandazi ya bakhresa. Wanachofanya Hawa dhahiri ni upuuzi. Japo siikubali cdm ila hizo drama wanazofanya zinatubadili na tunawadharau. Gademit
 
Siku zote ala nini,mbona hakondi!?
 
Machafuko unafanyia humuhumu JF, ila nje unawaachia GenZ
 
Wanachokifanya hakina tofauti na wayahudi kumkataa bwana yesu kwamba ni mwokozi wao.
 
Machafuko unafanyia humuhumu JF, ila nje unawaachia GenZ
Ndio boss, hata muuaji Samia alitoa maagizo yeye akiwa amejificha kizimkazi. Kama una picha ya shetani Samia akiwa ameshika bunduki akipiga waandamanaji iweke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…