Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

Kwanza nimeangalia hizo mbwembwe za hao maafisa wa magereza inasikitisha huo muda wangeenda kusimamia wahalifu walime mpunga na mahindi huko nchi ipate chakula,

Muda unaotumika na gharama sidhani kama unaweza kufidiwa ,
Kodi za Watanganyika zinatumika kwa mambo ya kipumbavu
ADHABU ALIYOPATA INATOSHA KWA KOSA LAKE ENOUGH IS ENOUGH
 
Njia pekee ya Askari Magereza kuacha kupoteza muda ni Muhalifu Lissu anyongwe mapema ili asimalizie mahabusu chakula na asipotezee muda wa mahakama huu muda ilitakiwa zisikilizwe kesi zingine za maana na siyo kesi ya muhalifu kama Lissu.
 
Adhabu amepata ya kosa gani boss?
 
Njia pekee ya Askari Magereza kuacha kupoteza muda ni Muhalifu Lissu anyongwe mapema ili asimalizie mahabusu chakula na asipotezee muda wa mahakama huu muda ilitakiwa zisikilizwe kesi zingine za maana na siyo kesi ya muhalifu kama Lissu.
🌈
 
nimejikuta natokwa na machozi leo nilivyoangalia ile clip,nikakumbuka na Risasi walizompigaga jamaa,na bado Tena wanamtesa.... Aisee mbona Wana roho mbaya sana? Nimeangalia na picha Rais ana tabasamu na katibu bwana mdogo Waziri juma sijui....ye anacheka mwenzao anateseka jela ilhali Hana kosa,na bado chakula awampi!! Oooh my God!!


Kwa hakika M/mungu anaenda kuwangamiza wote wanaokandamiza wanadamu wenzao pasina haki.... inshallah
 
Jambo pekee linaloweza kushangaza, mkuu 'Chakaza' ni kwa waTanzania wengi, na kwa bahati mbaya nawe ukijumuika humu, wanaofikiri kuwa hawa walioshikilia madaraka kwa nguvu ni binaadam kama walivyo binaadam wengine.

Mimi ninakukumbusha tu, urejee kwenye swali lako ulilouliza katika mstari wa kwanza kabisa wa mada yako.

Hivi kuna kitu gani kinachoendelea kuwaaminisha baadhi ya waTanzania kuwa hawa watu wanaotawala bado wana utu/ubinaadam ndani yao?

Haya matumaini yanatokana na nini?

Matendo yao yooote, hata ukiondoa mauaji waliyofanya kwa maksudi kabisa; ni matendo gani yanayotia matumaini kwamba hawa ni binaadam kama binaadam wengine?

Tunasubiri wafanye jambo gani la ajabu kabisa zaidi ya waliyokwisha fanya, ndipo tuwaone kuwa wao ni tofauti?
 
Umeandika nini?
 
Ahsante sana kwa maelezo kamilifu kabisa kuhusu swala la chakula, mkuu 'Manyanza'.
 
Hayo "machafuko" ni lazima yawaguse wao moja kwa moja. Hapawezi tena kuwepo machafuko ya kuwatoa sadaka waTanzania.
 
Ni utaratibu wa magereza hakuna mahabusu anayekula wakati wa shauri, mahabusu wote huhebiwa portion zao gerezani hata kwa wale ambao wameitwa mahakaman
 
Hakuna makahama iliyoangua kilio ni wahalifu wenzake ndo wanaangua kilio , Lissu anastahili kunyongwa hastahili kumaliza chakula cha mahabusu huko gerezani.
Daa. Au basi, ngoja ninyamaze nisije nikamkosea Mungu
 
Natamani rais ajaye toka bara atafute Mzanzibar mmoja maarufu amtese kwa kumfunga mpaka miaka 10 ya urais wake uishe ili kulipa kisasi.
Bila hivyo hawa Wazanzibar watatuonea sana
Ushinde ubaya kwa wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…