Ungekua unaiju Biblia usingemuita yesu mungu , unamuita mungu kwasababu huijui bibli, Lisu ni muhalifu na kosa alilofanya ilitakiwa awe ameshanyongwa hadi muda huuKwa wasomaji wa Biblia wanaweza kuona habari za Malkia YEZEBELI Enzi za Nabii Elia na alikuwa na matendo gani.
Lakini nini ilikuwa hatma yake? Alikufa kifo kibaya na maiti yake kuliwa na mbwa ni hiyo ni kumaanisha alilaaniwa.
Sasa hivi sie wa kizazi hiki tunajua kuwa kila mtu anajichagulia hatma yake mwenyewe?
Na jee kama sio upumbavu kwetu na uchaguzi mbaya kupata laana kwa kuunga mkono utawala ulio jichagulia laana?
Jee ndugu yangu Tlaatlaah USSR au Lucha nk mko tayari kupata laana ya vifo vya laana na maiti zenu kuliwa na mbwa kisa tu kufurahishwa na matendo ya YEZEBELI?
Amkeni, hamjachelewa! Badilini tabia na nuru itawaangazia.
Anyimwe huyo angekua ana afya hivyo,Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui?
Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima?
Hivi watu wakishangilia vifo vya watu hawa bado mtasema wachekaji wameishiwa utu?
Mie nasema sio kucheka na kukejeli tu bali hata kuombea dua WAFE ni haki yao.
Na Malaika mtoa Roho ikimpendeza leo akichikua hata wanne kwa mpigo tutamshukuru ili kutupunguzia watu wenye roho mbaya ulimwenguni.
Kuhusu mwenendo wa Kesi
Aliwapa pesa ya chakula wakaipokea, wakasahau kuwa wako naye.Atavuna anachopanda.
Jitahidi ufiche upumbavu wako, hayo masimango hayakusaidiii.Hakuna makahama iliyoangua kilio ni wahalifu wenzake ndo wanaangua kilio , Lissu anastahili kunyongwa hastahili kumaliza chakula cha mahabusu huko gerezani.
Hivi wewe umejambwa?Muhalifu kama Lissu hadi muda huu ilitakiwa awe amenyongwa na siyo kuendelea kuwamalizia chakula mahabusu huko gerezani.
Tulia nyumbu wewe , ule mtungi ulioiba oct 29 umeisha gesi unaanza kurusha pembe mitandaoni toka tena kaibe uoneHivi wewe umejambwa?
Hakuna mtu aliyezaliwa akawa anaongea ukyu maniner km wako..!!
Shida nini? Hujapata bwana unatafuta attention uonekane?? Unatia kichefuchefu we shangingi..!!
Hoja yako ni ya kipuuzi sana, na nikufundishe jambo! elewa kwanza kuwa yeye sio mfungwa bali ni mahabusu na ni ubovu tu wa sheria zetu ila alipaswa kuhudhuria kesi ya kijinga kama hii akitokea nyumbani kwake Tegeta.Anyimwe huyo angekua ana afya hivyo,
Ukute anawapangia chakula kasahau ye mfungwa