Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

Unakuta haka kajamaa Kama Tabu zake nyingi halafu kanakuja hapa lugumi lugumi, upinzani wameshindwa wewe ndo utaweza? Mwishowe wanapigwa 7m au kifungo then wanakuja kutusumbua tuchangie
Mkuu usijali kuhusu Mimi ukweli si uchochezi kweli itabaki kuwa kweli
 
Mi Tanzania bhna sijui huwa tukoje....suala LA Lugumi lishafanyiwa uchunguzi na kazi ambayo alipewa lugumi ameshaifanya katika kila kituo cha polisi....sasa kelele za nini???!
No sense wewe ni kibalaka mkubwa sana limefanyiwa kazi kivip??
 
kama tulivyosema sisi kina gogo la shamba miaka hii mitano ni ya kusikia na kuona mabo mengi ya ajabu
 
Una uhakika??
Zimefungwa lini kwa taarifa yako wewe ni muongo endelea kuwa muongo

Na uje kutuambia sababu ya kitwanga kuondolewa ni ulevi

Kama na wewe sio mlevi itakuwa umetoka kuvuta sigara kubwa
 
Mbuzi wa lugumi shamba la lugumi
hakimu lugumi kesi imeletwa na familia ya lugumi atahukum lugumi
 
Reactions: 999


 
Una uhakika??
Zimefungwa lini kwa taarifa yako wewe ni muongo endelea kuwa muongo

Na uje kutuambia sababu ya kitwanga kuondolewa ni ulevi

Kama na wewe sio mlevi itakuwa umetoka kuvuta sigara kubwa
mmmmmmm
 
Hamna kitu hapo zaidi ya kuhangaika na wenyeviti wa mtaa.

Apite tu nae aende zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…