Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Dakitari hajitumbui jipu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje antjpm? Kwani mnaabudia wapi?Lugumi namuogopa maana yeye ndiye mkuu wa gamboshi huko ninako abudia
Hata Lugumi ni ya wakati wa awamu iliyopita. Ndugu yangu naona uachane na jambo hili maana kama umefuatilia ziara ya JPM kanda utakuwa unegundua ukubwa wa mahusiano ya wawili haoMheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyoibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya?
Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala uliopita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe raia tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
Lugumi hawezi kutumbuliwa kwa kuwa ni kibaraka wa RAFIKI YAKE (Kitwanga), waache waendelee kuitafuna nchi kwa raha kama kawaida yao.Mheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyoibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya?
Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala uliopita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe raia tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
Anatumbua baadhi, yanayomgusa kama kivuko kibovu - mv dsm hawezi hata kuthubutu kunyanyua mdomoSasa yeye anatumbua majipu gani.. Au ni selective
Ndyo maana lugumi aliwaambia washikaji zake kuwa " game hili halihitaji hasira". Kauli hii ilimaanisha jpm hawezi kumfanya chochote mwisho wa siku naibu spika Dr. Turia akalimaliza "kiana" bungeni. Kwa hili tu la lugumi linamaanisha jpm hana nia ya dhati zaidi ni kulipiza kisasi kwa wale wabaya wakeLugumi hawezi kutumbuliwa kwa kuwa ni kibaraka wa RAFIKI YAKE (Kitwanga), waache waendelee kuitafuna nchi kwa raha kama kawaida yao.
Upo sawa kwa sababu haiwezekani afanye ya nyuma yake yanamshindaNdyo maana lugumi aliwaambia washikaji zake kuwa " game hili halihitaji hasira". Kauli hii ilimaanisha jpm hawezi kumfanya chochote mwisho wa siku naibu spika Dr. Turia akalimaliza "kiana" bungeni. Kwa hili tu la lugumi linamaanisha jpm hana nia ya dhati zaidi ni kulipiza kisasi kwa wale wabaya wake
Ni kweli mengine yakipasuliwa utakufaKama lipo ndani ya mifupa utaipasua kusaka jipu?
Tusiwe na Ndoto za Katiba mpya kwa serikali ya jpm sidhani kama anaweza kuleta hii Sera huku akijua itamuweka pabayaMleta Thread umenena kweli ila nchi yangu ya maajabu na ya kusadikika inachekesha sana.
Ni hivi mimi huwa ninasema kuwa kama Rais Maguli ni kweli anadhamira ya kutukomboa Watz. na yale maswahiba yetu ya toka sayari ya TATU,afanikishe kupatikana kwa Katiba ya Wananchi chini ya Tume ya Jaiji Warioba na iboreshwe kwa kupewa meno makali zaidi pasipo kujali huyu ni nani wala nani.
Na Katiba hiyo iondoe kinga ya Rais tuanze na wao n.k.n.k.
Otherwise workdone=Zero
Hata Lugumi ni ya wakati wa awamu iliyopita. Ndugu yangu naona uachane na jambo hili maana kama umefuatilia ziara ya JPM kanda utakuwa unegundua ukubwa wa mahusiano ya wawili hao
Najua Lugumi ni fupa lisilotafunikaHata Lugumi ni ya wakati wa awamu iliyopita. Ndugu yangu naona uachane na jambo hili maana kama umefuatilia ziara ya JPM kanda utakuwa unegundua ukubwa wa mahusiano ya wawili hao
Ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna haja ya kuogopaweeeee........!! ishia hapo. muombe mod aufute huu uzi kwa hiari yako..
Yananihusu ni ukweliFuata mambo yako kijana? Yanakuhusu nn bwana?
Inasikitisha doctor naye mahituti wagonjwa wataponakubwa la maadui..
mtumbua majipu naye ana jipu.. tena lipo mahali pabaya
Inauma unaumiza wenzio ww unapetaJipu la lugumi limeota pabaya nikilitumbua bamimi nitakufa.Bora niendelee kutumbua majipu madogo madogo