wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Ndio maana Mimi najisemea mziki nimzito kwa JPM. Ila tuvute subira tuone!!
JPM kachemsha kucheza mziki wa mafisadi...
eskrow, lugumi, wizi TRA kwa kila dk, madudu ya stanbik....
ni aibu mahakama ya mafisadi kukosa watuhumiwa.