W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,455 Reaction score 4,395 Dec 30, 2016 #201 accused said: Ndio maana Mimi najisemea mziki nimzito kwa JPM. Ila tuvute subira tuone!! Click to expand... JPM kachemsha kucheza mziki wa mafisadi... eskrow, lugumi, wizi TRA kwa kila dk, madudu ya stanbik.... ni aibu mahakama ya mafisadi kukosa watuhumiwa.
accused said: Ndio maana Mimi najisemea mziki nimzito kwa JPM. Ila tuvute subira tuone!! Click to expand... JPM kachemsha kucheza mziki wa mafisadi... eskrow, lugumi, wizi TRA kwa kila dk, madudu ya stanbik.... ni aibu mahakama ya mafisadi kukosa watuhumiwa.
H Hassann msimbe Member Joined Jan 15, 2017 Posts 50 Reaction score 64 Jan 22, 2017 #202 Ni jipu la LUGUMI,Naona hili halitumbuliki au tabia ile ile ya CCM kulindana na kuangaliana usoni?
H Hassann msimbe Member Joined Jan 15, 2017 Posts 50 Reaction score 64 Jan 22, 2017 #203 Ukweli lazima tuuseme,mpasua majipu mbona jipu hili limekushida,au unaangalia sura na ukada?ni hayo tu.
Ukweli lazima tuuseme,mpasua majipu mbona jipu hili limekushida,au unaangalia sura na ukada?ni hayo tu.
Bururu JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 877 Reaction score 584 Jan 22, 2017 #204 sijasoma vzr nitarudi kusoma
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,339 Jan 22, 2017 #205 Hassann msimbe said: Ukweli lazima tuuseme,mpasua majipu mbona jipu hili limekushida,au unaangalia sura na ukada?ni hayo tu. Click to expand... Hakuna jipu hata moja limetumbuliwa viini macho tu
Hassann msimbe said: Ukweli lazima tuuseme,mpasua majipu mbona jipu hili limekushida,au unaangalia sura na ukada?ni hayo tu. Click to expand... Hakuna jipu hata moja limetumbuliwa viini macho tu
bizzle for shizzle JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 1,012 Reaction score 741 Jan 22, 2017 #206 Lugumi unterchable. Ana kula raha tu sahizi yuko na full makomando wakimlinda sogea wakuvunje miguu.... Shikamoo pesa
Lugumi unterchable. Ana kula raha tu sahizi yuko na full makomando wakimlinda sogea wakuvunje miguu.... Shikamoo pesa