Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subira ya kwenda wapi? au ni ya upepo tu upite watu wasahau.Vifaa vya kulitumbua vinaandaliwa mkuu. Vuta subira...
Na inaelekea tushaanza kusahau. Sasa hiv tunaongelea sukari iliyofichwa!!!Subira ya kwenda wapi? au ni ya upepo tu upite watu wasahau.
(A) LugumiHivi ni Lugumi au ni LIGUMU...
watumbua
Kwenye nyekundu unazungumzia wingi wa wahusika,alikuwa anaendelea
Thx ,editedKwenye nyekundu unazungumzia wingi wa wahusika,
Kwenye samawati unazungumzia umoja.
Tanzania zaidi ya tuijuavyo ahsante mkuu umenikumbushaNchi ina wenyewe. Atakayetumbuliwa ni nyie dagaa na vimashine vyenu vya efd.
Pinda alisema, mafisadi wakiguswa nchi itatikisika. Haya sasa.