Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,453
Reaction score
111,795
Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa.

Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi.

1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi na Usb port na ukiipata basi speed ni ya kinyonga, nashauri watu wapande hayo mabasi kwa ubora tu wa bus na si hizo huduma weka bundle lako utanishukuru baadaye.

2. Refreshment uchwara za soda na maji achana nazo nunuwa vya kwako, its nonsense mpaka wafike kwenye zile Restaurant za njiani ambazo kimsingi ni deal zao kwa kisingizio cha kuchimba dawa mkishatoka hapo ndio wanaanza kugawa maji na soda (Ingawa si mabasi yote)

3. Tukirudi kwenye swala la ulanguzi wa vyakula kwenye hizo Restaurant usalama wa tumboni ni at your own risk hata gari zenye vyoo ni kwa ajili ya haja ndogo tu, nashauri anayeweza kusafiri na dry food kutoka nyumbani afanye hivyo.

Sasa naingia kwenye kero yenyewe ya mikurupuko ya Chalamila, nimesafiri kwenda Nairobi nimepandia Magufuli nus terminal kama agizo lilivyo, lakini abiria wote wanaoishi Goba, Mbezi Beach, Tegeta, Boko, Bunju hawa wote wamepandia njiani kwenye vituo vyao, hivi huyu mkurupukaji alikuwa anamkomowa nani?

Kamati ya ushauri ya mkoa ipo? Kama ipo inafanyakazi gani? Ni kwa nini ndani ya Mkoa mmoja kuwatesa watu wanaoishi linapolala bus halafu kuwapa hauweni waliopo mbali kabisa na bus?

Hapa hoja yangu si kwamba hawa raia waliopo Bagamoyo road waporwe hii fursa na haki yao ya msingi hapana, hoja ni kutenguwa kauli za kukurupuka bila utafiti na badala yake hoja iwe ni mapato, mabasi yote lazima yaingie Magufuli bus terminal yanapoondoka na yanapowasili.

Tunakoelekea watu wa Dar hatutokubali tena kuja kuongozwa na washamba kutoka mapolini wasiojuwa jiografia ya Dar na karaha zake.

Nimemaliza.
 
Kwa mtazamo wa mipango miji, sioni tatizo kuwa na stand moja kuu kubwa kama Magufuli Bus Terminal. Cha msingi ni kuwa na miundombinu na mfumo mzuri wa usafiri unaorahisisha watu kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kufika kwenye terminal hiyo.

Hatuwezi kutatua changamoto ya accessibility kwa kujenga stand kubwa kila upande wa jiji. Tukifuata logic hiyo, basi tungetaka railway stations na airports ziwe Bunju, Mbezi, Gongo la Mboto, Mbagala, Kigamboni, Tegeta n.k. ili kila mkazi awe karibu nazo. Hivyo sivyo major transport infrastructure inavyopangwa.

Suluhisho ni connectivity, si multiplication of major terminals. Stand kuu iwe strategically located, halafu feeder roads, BRT, daladala na other public transport networks ziunganishe maeneo mbalimbali ya Dar na terminal hiyo efficiently.

Airport nayo haijengwi kila upande wa jiji ili kila mtu awe karibu nayo; kinachofanyika ni kuhakikisha major airport inafikika vizuri kutoka sehemu mbalimbali za jiji. Principle hiyo hiyo inaweza kutumika kwa major intercity bus terminal.

Kwa hiyo mjadala wa msingi uwe, Je, kuna jitihada zozote au mpango wakufanya Magufuli Bus Terminal iwe na connectivity ya kutosha na maeneo yote ya Dar? Kama hakuna, tuboreshe connectivity si kujaza major bus terminals kila upande wa jiji.
 
Nafikiri either hauishi Dar au huelewi vizuri hoja ya msingi ni nini.

Tena hizo connectivity ndio upumbavu mtupu, wanapeleka bus la mwendo kasi asubuhi route yake ni kama ukapange tena foleni na kununuwa ticket nyingine wakati wakazi wenyeww wa Kimara hizo bus za mwendokasi haziwatoshi.

Ujinga mtupu wa kukurupuka tu.
 
Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa.

Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi.

1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi na Usb port na ukiipata basi speed ni ya kinyonga, nashauri watu wapande hayo mabasi kwa ubora tu wa bus na si hizo huduma weka bundle lako utanishukuru baadaye.

2. Refreshment uchwara za soda na maji achana nazo nunuwa vya kwako, its nonsense mpaka wafike kwenye zile Restaurant za njiani ambazo kimsingi ni deal zao kwa kisingizio cha kuchimba dawa mkishatoka hapo ndio wanaanza kugawa maji na soda (Ingawa si mabasi yote)

3. Tukirudi kwenye swala la ulanguzi wa vyakula kwenye hizo Restaurant usalama wa tumboni ni at your own risk hata gari zenye vyoo ni kwa ajili ya haja ndogo tu, nashauri anayeweza kusafiri na dry food kutoka nyumbani afanye hivyo.

Sasa naingia kwenye kero yenyewe ya mikurupuko ya Chalamila, nimesafiri kwenda Nairobi nimepandia Magufuli nus terminal kama agizo lilivyo, lakini abiria wote wanaoishi Goba, Mbezi Beach, Tegeta, Boko, Bunju hawa wote wamepandia njiani kwenye vituo vyao, hivi huyu mkurupukaji alikuwa anamkomowa nani?

Kamati ya ushauri ya mkoa ipo? Kama ipo inafanyakazi gani? Ni kwa nini ndani ya Mkoa mmoja kuwatesa watu wanaoishi linapolala bus halafu kuwapa hauweni waliopo mbali kabisa na bus?

Hapa hoja yangu si kwamba hawa raia waliopo Bagamoyo road waporwe hii fursa na haki yao ya msingi hapana, hoja ni kutenguwa kauli za kukurupuka bila utafiti na badala yake hoja iwe ni mapato, mabasi yote lazima yaingie Magufuli bus terminal yanapoondoka na yanapowasili.

Tunakoelekea watu wa Dar hatutokubali tena kuja kuongozwa na washamba kutoka mapolini wasiojuwa jiografia ya Dar na karaha zake.

Nimemaliza.
Sio Tu hoja pale hoja zinapopuuzwa tufike hata kuchapa bakora washenzi wanaowatesa Watanzania!
 
Back
Top Bottom