Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

Acheni kusingizia ukame,wa kanda ya ziwa wana mgao mkali sana na ziwa lipo hatua chache walipo.

Mmemaliza kusingizia vita Russia vs Ukraine mmekuja na mpya ya ukame. Laana ya Magu inawatafuna
 
Mgao wa Maji Dar/Pwani ni Ukanjanja wa viongozi wetu.....Ardhini kuna maji ya kufa mtu ,tusitegemee source moja tu ya mvua kujaza mabwawa tu ,tujikite pia kwenye visima.
 
Hata Magufuli Mwaka 2017 akiwa Simiyu Wananchi kutokana na Ukame uliowakumba Wakimwomba Msaada wa Chakula Akawajibu kuwa yeye sio BABA YAO
 
Hata Magufuli Mwaka 2017 akiwa Simiyu Wananchi kutokana na Ukame uliowakumba Wakimwomba Msaada wa Chakula Akawajibu kuwa yeye sio BABA YAO
Du......!
Hata kule Bukoba kulipoyokea tetrmeko, aliwaambia ninyi wahaya mmezoea majanga ambayi mimi sikuwaletea.
Ukimwi wenu, na mna mto unaitwa Ngono!
 
Huu utawala una mikosi au?
Mara athari za corona, mara vita ya Russia mara ukame.
 
Libya ni Jangwaa ilaa Gadafi alileta maji 24 hours buree...!! Hizi nchi za kiafrika kuna laana sijuiii
 
Libya ni Jangwaa ilaa Gadafi alileta maji 24 hours buree...!! Hizi nchi za kiafrika kuna laana sijuiii
Tuna matatizo ya akili nadhani, mfano hapo umemtaja Gaddafi ila watakuja watu humu kumzungumzia kwamba alikuwa dikteta hilo ndio watakaloliona wao.
 
Tena angekuwepo saa hii tusingeshangaa kusikia watu wanatekwa kwa kukosoa serikali yake kuhusu tatizo la umeme na maji.
Kwani ukame haukuwai kutokea kipindi cha Magufuli? Mbona hatukuona mgao wa umeme au maji?Samia na mawaziri Wake wazembe tu kutwa kuzurula nchi za watu, utafikiri unaweza pata maendeleo kwa kuzurula,Ukipita pale mto Luvu maji yanatirililika tu yanakwenda bahalini,Dawasco kuna mainjinia kibao kwanini wasiweke magata kuzuia maji yasitirilike ili wajaze matemki ili wapewe wananchi, mgao wenyewe waliaidi watatoa maji mala mbili kwa kila zone hata moja imewashinda.Serikali ya Samia janga la taifa
 
Hadi hapa nachelea kusema mama Samia anapaswa kumtosa aweso. Dar tunaweza kusema ni ukame kwa kuwa wanategemea mto ruvu. Vipi kuhusu mikoa ya kanda ya ziwa ambayo wanategemea maji ya ziwa Victoria? Napo ziwa Victoria limekauka?
 
Vp Kwan Ukame umekausha Lakes na Rivers?

Kuna watu wanaishi km mbili Kutoka ziwani hawapati maji.

Wahuni wamekula pesa ya kununulia chrorine kutakasa maji!!!
 

Hakuna Ukame acha kupotosha umma...
 
Maliasili ndiyo wanatuua, misitu mingi inakatwa wao wanatazama na kula rushwa
 
hahahaha, tunacholaumu ni royal tour huku mabomba hayatoi maji eti chanzo cha maji kimekauka.

ilitosha kabisa kwa mwaka mmoja kutengeneza water storage facilities kubwa na kuvuna maji ya mvua ndani ya mkoa wa Dar es salaam na kuwa kama alternative supply incase.
 
Ccm ni JANGA wote wako na low thinking capacity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…