Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

fuatilia hotuba ya makufuli akielezea kuhusu ufisadi bwawa la mtera, mbona mnasahau mapema tatizo lenu kumbukumbu ya mechi za simba na yanga mnazijua hata ya miaka ya 70. bwawa la mtera mji usiku yanafunguliwa kwenda kwenye mashamba ya watu, hilo ziwa la victoria linaweza kuwapa maji afrika nzima kwa zaidi ya miaka 100 lakini mji wa mwanza wengi wao hawana maji na kuna mgao, nayo utasema ukame
Soma kwa kuelewa sio kwa kubishana. Unajua kilichoelezwa lakini?
 
Mwendazake aliongoza kipindi cha 2015 mpaka 2021 kipindi ambapo mvua hazikuwa mbaya sana.
Tunakumbuka mvua kubwa za 2019/20.
Ipo siku mtakuha kusema asilaumiwr raisi kwa watoto kutokwenda shule, yeye siye aliyewafanya wazazi wao wawe maskini kwa kukosa ada.
Kazi ya jiongozi ni kutatua matatizo la sivyo hakuna haja ya kuwa na viongozi.
Iwe matatizo umeyaleta, hukuyaleta, umewekwa pale kuyatatua ndio maana unalipwa na kutunzwa kwa kodi za wananchi
 
Tetemeko lilipo teketeza nyumba huko Bukoba, Magufuli alisema serikali hakulileta tetemeko.
 
Back
Top Bottom