Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

Landcruiser moja inakwenda milioni 500 zikinunuliwa kumi ni bilioni tano. Hapo haujaleta utatuzi wa masuala ya maji?.

Tuna matatizo mengi sisi waafrika. Kuliko tunavyoweza kuyaelezea.
 
Serikali haijaleta tetemeko.... kweli tumetoka mbali nji ii.......
 
Suala la Maji na umeme kukosekana ni suala la kufanyiwa kazi na mgombea bora kupitia ccm mwaka 2025
 
Hata tukose maji hadi tufe,sitakaa nimkumbuke yule mwendawazimu,

unafikiri angekuwepo angefanya nini? Hakuwa na akili za kutatua crisis yoyote, zaidi ya kuagiza jeshi
Mwendawazimu kwa mataahira pepkee
 

fuatilia hotuba ya makufuli akielezea kuhusu ufisadi bwawa la mtera, mbona mnasahau mapema tatizo lenu kumbukumbu ya mechi za simba na yanga mnazijua hata ya miaka ya 70. bwawa la mtera mji usiku yanafunguliwa kwenda kwenye mashamba ya watu, hilo ziwa la victoria linaweza kuwapa maji afrika nzima kwa zaidi ya miaka 100 lakini mji wa mwanza wengi wao hawana maji na kuna mgao, nayo utasema ukame
 
Hadi hapa nachelea kusema mama Samia anapaswa kumtosa aweso. Dar tunaweza kusema ni ukame kwa kuwa wanategemea mto ruvu. Vipi kuhusu mikoa ya kanda ya ziwa ambayo wanategemea maji ya ziwa Victoria? Napo ziwa Victoria limekauka?

hawezi kumtosa aweso. aweso rafiki ya ummy na ummy rafiki ya mother
 
Si vema kwenda unako taka kwenda, maana Magufuli hakuwa msafi.
Hadi leo Tshs 1.5 Trilioni haina maelezo.
Tukazane kuona jinsi ya kujenga hilo bwawa la Kidunda.
 
Suala la Maji na umeme kukosekana ni suala la kufanyiwa kazi na mgombea bora kupitia ccm mwaka 2025
Kwa miaka 60 iliyopita ccm walikua wanafanya nini? Hawakujua kwamba kuna shida ya maji kipindi cha ukame na wajiandae? Kama kweli mwanza kuna shida ya maji, unaona viongozi ni wawajibikaji? Kwa uzoefu tu, 60% ya ccm itakua madarakani after 2025, asilimia ngapi ya viongozi wa hovyo wa saivi watarudi madarakani? Wewe ni mzalendo wa ccm au Tanzania? ccm ni kiongozi gani anafaa kuongoza nchi after 2025?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…