Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

Soma kwa kuelewa sio kwa kubishana. Unajua kilichoelezwa lakini?
 
Mwendazake aliongoza kipindi cha 2015 mpaka 2021 kipindi ambapo mvua hazikuwa mbaya sana.
Tunakumbuka mvua kubwa za 2019/20.
Ipo siku mtakuha kusema asilaumiwr raisi kwa watoto kutokwenda shule, yeye siye aliyewafanya wazazi wao wawe maskini kwa kukosa ada.
Kazi ya jiongozi ni kutatua matatizo la sivyo hakuna haja ya kuwa na viongozi.
Iwe matatizo umeyaleta, hukuyaleta, umewekwa pale kuyatatua ndio maana unalipwa na kutunzwa kwa kodi za wananchi
 
Tetemeko lilipo teketeza nyumba huko Bukoba, Magufuli alisema serikali hakulileta tetemeko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…