Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

CCM n mabingwa wa kutengeneza matatizo halafu wanarud kuyatatua kwa mlango wa nyuma

Bahat mbaya ukame hautatuliki kiboya Kama wanavyodhan

Kama mtu anashamba la.kuweza kutumia maji Lita milion 1 kwa saa bas hyo n mkilima mkubwa hivyo walipaswa kulijua mapema inashangaza kuona wamegundua Sasa kwakwel

Viongoz wetu n Wala rushwa Sana huyo mchina hatachukuliwa hatua yoyote Zaid ya kuachiwa na wananch ndio watakaopata tabu kwa kutoa taarifa za upotevu wa maji

Magufuli nilikuwa simpend ila ametufundisha mengi Sana hasa uzalendo na kuisema kwel hata Kama chungu

CCM n janga la taifa
 
Halafu cha ajabu mmoja wa wajumbe wa bodi ya maji ni CDF wa zamani Davis Mwamunyange halafu haya mambo ya kipuuzi yanaendelea nchini. Hii nchi inakwenda wapi?

Hao wastaafu ndio hawa hawa zao la mfumo mbovu, sioni kama wana jipya. Wanachojivunia ni mishahara ya maisha na heshima zisizo na tija yoyote.
 
Wakati mchina anaanzisha irrigation yake huenda hali ilikuwa hivi hapo chini,leo mnaanza kumwita khanithi?huu ni umaamuma wa kiwango cha tiles!
Nchi yenye mvua nyingi kama hii,mnaacha maji yanapotea halafu mnalalamika one year later,pale koki za mbinguni zinapofanyiwa service na Mzee Matariel,malaika wa mvua!tulieni kwa adabu mjifunze,mchina wa watu mnamwonea tu,kwani vibali kapata wapi na project kubwa hivyo?!watu wasifuge,watu wasilime kisa nyie mnashindwa kuwa modern na mipango yenu?!wakati Matariel kafungua hii koki mkalalamika maji yamejaa sana!akawacheki tu!leo kaifunga,bado mnalalamika.Mna nini nyie waafrika?!kwanini mnadeka hivi,mna ubia na mbingu?!sio nyie mlimwaga maji haya hapa chini?!tena ni last year tu hapo!👇
 
Hapo naanza na watu wa bandari nakuja TRA nafata Bodi ya bonde la mto ruvu namaliza na viongozi husika wa eneo hilo qmqmqq
 
Aisee Beijing kuna massage palour yaani hata ukiwa na akili za kizalendo wanakutia ukhanithi wale watu, yaani wanakusubiria airport ukifika tu wanakudaka wanaku upgrade hotel wanakukabidhi mawasiliano,line full bundle na kukupeleka KTV (wataalam wamenisoma)

Yaani zile per diem zako USD $zako wanakuruhusu kuzichepusha. Sasa hapo ndio wanakupanga ili wakupige kwenye mikataba na ukuda ukuda kama huo uliowataja hapo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
kwahio watu wa bonde walikuwa hawajui?

Huyo Mchina ahojiwe kama alishirikiana na wengine.

Halafu kuna wachina wengine waliharibu reli na Wengine walichafua mazingira na wengine walinyanyasa wafanyakazi.

Sisi tukienda China wataturuhusu kuvunja sheria zao??
 
Sasa mtaanza kumuelewa Aly Heppy.

Kwamba mtu akishastaafu atulie nyumbani kwake acheze na wajukuu.
 
lita milioni 1 kwa lisaa,[emoji848], haswa wabongo tunachezewa akili, kumwagilia mboga mboga, mtu atumie lita milioni kwa lisaa[emoji23]

Viongozi wabongo walishajua akili finyu za wabongo basi ni mwendo wa kupindua pindua tu, hapa wameshapata sababu tayari.
 
Wamepata bangusilo
 
Watu walishakula 10%
 
Hao hao mafala ndio waliokata kata mazao ya Mbowe wakidai analima kwenye chanzo cha maji.

Mods mtuachr tumalize hsira zetu leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…