Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

Hiyo bodi ya maji ilipaswa wote wawe wameachishwa kazi baada ya kutangaza hii taarifa. Bodi ilikuwa likizo na sasa ndo wamerudi kazini baada ya madhara kuwa makubwa
Nchi hii tumekosa plan nzuri tu ya kuyatumia maji tuliyonayo hii nchi Ina vyanzo vingi vya maji uyo machina km tungekuwa na plan nzuri WALA tusingeona athari yake

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kibali cha kuchepusha maji. Kama angekuwa nacho angekionyesha kwa hao waliomtembelea. Hata ukiwa Mbongo kibali ni lazima na hii sheria ipo.

Kama watu wa Morogoro milimani kule wangeruhisiwa wagawane hayo maji hata hapo Ruvu yasingefika au yangefika kidichu sana.
 
Inawezekana kabisa hao hao waliomkamata ndiyo hao hao waliompa kibali " water use permit" na kibali kimelipiwa.
 
Na wakiendelea hivi na uhanithi wao na ufala tutaichukua nchi wenyewe kwa kuendesha propaganda za kushawishi wananchi wasishiriki kwenye kazi yoyote ya serikali, ikiwa ni pamoja na ulinzi wa ofisi na viongozi wa serikali.
 
Tutasahau tu!

Baada ya mvua kunyesha yote haya tutasahau na watz watarudi kwenye maisha yao kama kawaida kwani hata tozo ilikuwa hivi hivi
Majitu yanayolalamikia sana maji pia utakuta jitu hilo halijawahi kupanda hata mti mmoja na anaishi kwenye nyumba ambayo ana uwezo wa kupanda hata miti miwili ya matunda au kivuli na hajapanda. Watanzania tupo milioni 60 iwapo kila mmoja atapanda mti mmoja kila mwaka tutakuwa na miti mingi sana. Mlioko mijini pia pandeni miti kwenye kila nafasi ya udongo ambayo ipo wazi, tia mti hapo
 
Hii issue itatulizwa huyo Mama kadhani kakamata atapigiwa simu tu slow down huyo hajaanza leo anakila kitu na story itakufa kama ilivyokuja. Nchi hii drama tu. Kesho kama hujasikia kiwanda tumeshika kinatumiwa MW 5 kwa saa ndio maana umeme hautoshi blaa blaa nyingi.
 
kuna watu nchi imewashinda kuongoza.
 
Viongizi wa CCM hawafanyi kazi za umma wanaofanya kazi hizo wapo wasio kua na vyama na wapo wa vyama tofauti,
Kun watu wanajipendekeza kwa CCM huku wana mapenzi na ufipa.
Hilo unatakiwa kujua.
 
Nchi ya kipumbavu sana hii...
Ujinga ujinga tu....
 
Yaani umuachie mhalifu ambaye most likely kuna wakubwa aliowahonga ili afanye uharamia huo aendelee?
Huyu mchina hana kosa. Kapewa kubali cha kuchukua maji mto ruvu na serikali, N hicho kiasi karuhusiwa. Mimi niwaulize kuna bwawa lilikuwa linajengwa eneo la KIDUNDA karibu na mji wa morogoro zaidi ya niaka 5 iliyopita nia ilikuwa kuhakikisha maji ya mto ruvu hayapungui ILIKUWAJE HALIJAKAMILIKA UJENZI WAKE? MBONA HALIJAISHA BWAWA NDOGO TU?
 
Sisi Kazi yetu ni kuyaacha maji yapotee baharini,mchina kaona fursa maji yapotee shambani kwake.
Serikali haina ubunifu hiyo project ya mchina ilifaa ifanywe na vijana wetu ni aibu sana kwa karne kuyaacha maji yamwagike baharini badala ya kwenye mashamba.
 
Inasikitisha sana...

cha kushangaza alifuata taratibu zote za kiserikali na kibali akapewa kama muwekezeaji kwa miaka yote hiyo...
 
Mchina kukamatwa ni propaganda tu ili kutuaminisha ujinga, kwamba hapo mtoni hakuna ulinzi wala usimamizi wala ufuatiliaji wa mifumo ya usalama?? shame on you, yaani mtu afunge mitambo na afanye kazi bila serikali kuwa na taarifa halafu shida ya umeme ikianza ndo wajue kwamba kuna mchina ,tafuteni njia bora ya kutatua kero ya umeme na siyo kuleta sinema za kutengeneza hapa
 
Well said
 
Mchina naye mjanja Kama mabwawa,yalipoona January kapewa ulaji,yakaanza kukauka.

Mchina alipoona January kapewa ulaji akaanza kuchepusha maji.

Maji nayo yalipogundua JPM hayupo yameanza mgomo,wakati ule yaliogopa maana alisema hajaribiwi.
 
😂😂😂kwamba anamaliza maji!?
Wakati maji yenyewe yanaenda baharini!
Ingekuwa anaharibu chanzo cha maji sawa sasa kutumia maji yanayojipitia ndio kosa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…