Mkuu,kwa mujibu wa mzee Kasesela hapo hizo ni lita milioni 2 zinatolewa zisilete madhara kwenye mitambo.
Kwa hiyo lita milioni moja ni nusu ya hayo maji uyaonayo hapo.
Tunaambiwa tena mchina anayatumia ndani ya lisaa tu,kumwagilia matembele na mchicha ..maamae bongo tunaonana wajinga sana![emoji38]