DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
- Thread starter
-
- #21
Wewe huana uelewa kuhusu siasa.Mbona umeumizwa na issue ya Ushoga....?
Wanasema wasi wasi ndio akili..
Mimi swali ninalo jiuliza ilikuaje mchele unaagizwa waziri wa kilimo hajui?
Wazuri wa kilimo anajifanya hamnazoMbona umeumizwa na issue ya Ushoga....?
Wanasema wasi wasi ndio akili..
Mimi swali ninalo jiuliza ilikuaje mchele unaagizwa waziri wa kilimo hajui?
Maskini huwa ana uwanja mdogo sana wa kuchagua vitu vizuri ijapokuwa anaweza kujsa ujeuri na kiburi katika kuvipokea. Watu wa Marekani wameombwa msaada, hali wakitambua lishe duni na umaskini uliokithiri kwa Watanzania, kwa moyo mmoja walijitolea mchele wenye virutubisho, ili vijana wapate lishe bora.Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.
Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!
Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.
Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.
Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.
Mkuu tuwe tu realistic . Nchi hii shule za bweni wengi tumesoma hata kama wewe hujasoma boarding. Tunakula wali , uji , nyamaa , samaki na mboga za majani vgote hivi vinalimwa hapa hapa Tanzania. Ni lini shuleni tumekula vyakula vya msaada vilivyoongezewa virutubisho?Ikiwa hauwezi kufanya jambo usimpinge anayeweza kufanya.
Nyie lini mmefanya jambo la maana la kuisogeza nchi mbele.
Watoto umeona hali zao? Watoto wa dodoma na nchi nzima wamechoka kwa kukosa virutubisho nutrition.
Mkuu Tuwekee picha ya label ya dumu lako la MAFUTA, pakti ya chumvi na unga wako wako WA ngano. Kama hakuna basi utajuwa ni MTU WA kwenda mangoli shop so itakuwa dhahiri hujui unachokula kila siku.Wewe kwakili yako timamu Tanzania inahitaji msaada wa chakula? Hicho chakula kimeletwa bure una uhakika? Hivyo virutubisho vilivyoongezwa umejiridhisha ni salama?
Hivi hii ni mara ya kwanza kupewa msaada wa chakula!? Ebu jiongeze, ukiwa muoga kupita kiasi hata kelele kidogo tu za unyasi zitakushtua.Wewe kwakili yako timamu Tanzania inahitaji msaada wa chakula? Hicho chakula kimeletwa bure una uhakika? Hivyo virutubisho vilivyoongezwa umejiridhisha ni salama?
Ungejuaje kama ni vya msaada au lah bila kuambiwa au kuona?Mkuu tuwe tu realistic . Nchi hii shule za bweni wengi tumesoma hata kama wewe hujasoma boarding. Tunakula wali , uji , nyamaa , samaki na mboga za majani vgote hivi vinalimwa hapa hapa Tanzania. Ni lini shuleni tumekula vyakula vya msaada vilivyoongezewa virutubisho?
Kwanini huo mchele wasingewapa homeless kule marekani wanaolala njaa?Maskini huwa ana uwanja mdogo sana wa kuchagua, vitu viziri ijapokuwa anaweza kuwa jeuri na kiburi. Watu wa Marekani wameombwa msaada, hali wakitambua lishe duni na umaskini uliokithiri kwa Watanzania, kwa moyo mmoja walijitolea mchele wenye virutubisho, ili vijana wapate lishe bora.
Shirika la viwango, TBS, limethibitisha kuwa chakula hicho ni kizuri na kinafaa kwa matumizi ya binadamu. Sasa kelele za watu jeuri zinaanza kupazwa na kushutumu msaada uliotolewa, na kutafutwa sababu zisizokuwa na mashiko ili kuhalalisha lawama zao.
Marekani ni taifa kubwa sana na lililoendelea sana kisayansi na kiuchumi. Bajeti yetu tegemezi huitegemea nchi hii, na hata shirika lao la USAID huisaidia nchi yetu kwa mambo mbalimbali. Sasa inakuwaje msaada huu tu ndio ulete kelele zote hizo!? Ni lazima tukumbuke kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa
Vya misaada si ndio kama hivi tunavyoambiwa? Kwani misaada inatolewa kwa siri?Ungejuaje kama ni vya msaada au lah bila kuambiwa au kuona?
Hapana mkuu,ile mashine iloagizwa kwa maelekezo ya village ruler wa wakati ule,tena sijui ilitengenezwa jeshini ile?Usisahau Ishu ya Covid ilimkuta Waziri Dkt Gwajima akiwa waziri wa Afya..
na Dkt Gwajima ni Daktari na amefanya kazi kama DMO,RMO singida na mikoa Mingi sana mpaka naibu katibu wizara ya afya..
Na yeye alikuwa wa kwanza kuagiza Mashine ya kujifukiza pale muhimbili..
Sasa Hapo ni kosa la nani???
Siyo mara ya kwanza lakini msaada unaletewa unapohitaji. Hapo jirani zambia wametangaza kuna njaa wangewapelekea huo msada. Tanzania kuna njaa gani ya kuhitaji msada kutoka marekani wa mchele kwa sasa?Hivi hii ni mara ya kwanza kupewa msaada wa chakula!? Ebu jiongeze, ukiwa muoga kupita kiasi hata kelele kidogo tu za unyasi zitakushtua.
Huna unalojua mkuu. Kwani unapopewa dawa wanakuambia hizi ni za msaada hizi serikali imenunua? Au wanakupa Tu. Same Kwa chakula, umeme na mambo mengine.Vya misaada si ndio kama hivi tunavyoambiwa? Kwani misaada inatolewa kwa siri?
Mafuta natumia ya alizeti nalima mwenyewe shambani yanakamuliwa mashine. Ngano natumia ya SSB inazalishwa hapa hapa bongo chumvi inachimbwa bagamoyo sukari bagamoyo mahindi yanalimwa hapa hapa Tanzania. Kipi kingine mkuuMkuu Tuwekee picha ya label ya dumu lako la MAFUTA, pakti ya chumvi na unga wako wako WA ngano. Kama hakuna basi utajuwa ni MTU WA kwenda mangoli shop so itakuwa dhahiri hujui unachokula kila siku.
duniani kote idadi ya watu wasiokuwa na akili ni kubwa mara nne zaidi ya watu wenye akili.Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.
Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!
Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.
Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.
Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.
Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.
Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Hakuna kitu kinachoitwa msaada .panua ubongo huo mkuuHuna unalojua mkuu. Kwani unapopewa dawa wanakuambia hizi ni za msaada hizi serikali imenunua? Au wanakupa Tu. Same Kwa chakula, umeme na mambo mengine.
Usisahau Ishu ya Covid ilimkuta Waziri Dkt Gwajima akiwa waziri wa Afya..
na Dkt Gwajima ni Daktari na amefanya kazi kama DMO,RMO singida na mikoa Mingi sana mpaka naibu katibu wizara ya afya..
Na yeye alikuwa wa kwanza kuagiza Mashine ya kujifukiza pale muhimbili..
Sasa Hapo ni kosa la nani???
Boss umesoma taarifa ya TBS?Mbona umeumizwa na issue ya Ushoga....?
Wanasema wasi wasi ndio akili..
Mimi swali ninalo jiuliza ilikuaje mchele unaagizwa waziri wa kilimo hajui?
Sawa kama unakula nyumbani kwako kila siku your good to go. But if unakula hotel, canteen hasa ofisini na meneo mengine au unanunua bidhaa za dukani kama mikate, maandazi n.k basi huna unaloliepuka hapo. Most of us chakula tunavyokula 90 percent siyo tunavyopika wenyewe. House girls na house boys ndiyo wanakula vyakula wanavyopika wenyewe Kwa 90%. Angalia vizuri label ya hiyo SSB. Au tutume hapa tukujuze.Mafuta natumia ya alizeti nalima mwenyewe shambani yanakamuliwa mashine. Ngano natumia ya SSB inazalishwa hapa hapa bongo chumvi inachimbwa bagamoyo sukari bagamoyo mahindi yanalimwa hapa hapa Tanzania. Kipi kingine mkuu