Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,183
- 3,521
- Thread starter
- #21
Kazi za vigogo na kazi za watoto wa maskini.Hehehe, yaani mtu anayelipwa, say, 3m ndo huyo huyo mwenye marupurupu, posho na nyumba anapewa.
Na huyu anayelipwa 500k ndo hana cha marupurupu, posho na nyumba apange kwa kumega hiyo hiyo 500k yake kwa kiwango cha elimu kile kile.
Hii mifumo sijui imerithiwa kutoka wapi.
SUKAH