Suala la Mishahara kwa watumishi wa Umma liangaliwe upya, tena kwa macho manne

Suala la Mishahara kwa watumishi wa Umma liangaliwe upya, tena kwa macho manne

Kaka umemaliza watu wanaingia saa mbili mpaka usiku na weekend pia na sikukuu tena unakuta wako kazini watu na zamu za kupishana usikj kutokana na unyeti wa kazi eti walipwe sawa na watu saa nane wako makwao na wameingia saa mbili
 
Kuna maafisa utumishi wanafanya uhuni kuwabania watumishi walio chinni yao kupanda madaraja, kutoshughulikia kwa wakati madai yao mbalimbali, wengine wanajenga mazingira ya rushwa.....hili nalo waziri alifuatilie vilivyo ndo linapelekea pia serikali kulaumiwa.
 
Mbona mlishindwa kuonesha msimamo wenu siku ya mei mos mnakuja kudai uku JF[emoji23][emoji23]
[emoji443][emoji445]How many days in the week ,[emoji444] seven day ×2
Tutaelewana tu. Hadi tuimbe sauti moja huo wimbo wa chekechea.
Kuna watu walibagua viongozi na kuwaita majina mabovu. Wakishangiliaaaa
 
Mmi napinga kabisa unajua izo sekta hazitegemi ruzuku tofauti na walimu na watu wengi kwanza mpo wengi mnafakazi masaa 6.

Alie nacho aongezee pambana ufike ulitumwa kusomea ualimu.
Point muhimu sana, kazi ya ualimu ni kazi za kujitolea na inaajili watu wengi sana hivyo Ili wagawane wengi mishahara haiwezi kuwa mkubwa, kingine holiday na muda wa kutoka kazini wanapata muda wa ziada, pia kazi zao hazizalishi kipato kingine cha kujenga nchi.
 
Back
Top Bottom