Suala la Mishahara kwa watumishi wa Umma liangaliwe upya, tena kwa macho manne

Kazi za vigogo na kazi za watoto wa maskini.
 
Yote hayo ndio yale yale tuu mtu kupewa vyeo viwili au kazi mbili mbili au mtu anastaafu halafu anateuliwa tena kwenye kundi la watu 60M yaani SHIDA NI KUBWA SANA.
 
Mmi napinga kabisa unajua izo sekta hazitegemi ruzuku tofauti na walimu na watu wengi kwanza mpo wengi mnafakazi masaa 6.

Alie nacho aongezee pambana ufike ulitumwa kusomea ualimu.
Ongera kwako wewe ambaye hukusomea UALIMU lakini unasubiri watoto wako wafundishwe na Walimu.
 
Huwezi jua vizazi vyako vitano vijavyo vitakuwaje ni bora upambane leo mana huwezi jua kesho.
 
Nchi ngumu sana, watoto wa vigogo wanaandaliwa kupata hela ndefu, narudi a tena hivi Hawa WALISOMAJE?
Kungekuwa na usawa kwenye mishahara halafu wabaki na posho zao na per diem zao angalau.
 
NECTA tu hapo PS analipwa 2.8 per moon mzee.
Hata MOYO wa kufanya kazi unakufa aiseee....

Maskini hata ufurukute vipi ..utaishia tu kuwa teller NMB bank
 
Wanaofanyakaz ni watu wengine. Haya Mambo ya hovyo kabisa. Kila Jema au baya mtunga Sheria ndio chanzo.

Warekebishe Sheria.
Hawa watu wa chini hawa ambao hawana posho, marupurupu wala per diem ndio waleta maendeleo lakini bahati mbaya sana hawa ndio wananyonywa hatari halafu watoa maamuzi wanakula bata inaleta uchungu sana.
 
TATIZO WATANZANIA NI WATU WABINAFSI SANA NDUGU.
 
Kumbe polisi wana mbwembwe tu ila wanacholipwa ni takataka tu[emoji23][emoji23]
 
Ongera kwako wewe ambaye hukusomea UALIMU lakini unasubiri watoto wako wafundishwe na Walimu.
Mkuu hilo swala limesababishwa na siasa maana mpaka sasa hata mama afanyaje hawezi kuongeza fanyeni ivi warudishe ada pesa isaidie kuongezea misharaha walimu mbona private walipwa vizuri mkuu
 
Upo nje ya mada...Serikali duniani kote haiwezi kuajiri graduate wote kwaio nafikiri mtoa mada alikua anaisisitiza serikali iangalie swala la mishahara ya watumishi wake Kuna gap kubwa Sana linapoteza Hari ya kujituma na uajibikaji kwa wake wenye salary ndogo.
 
Mmi napinga kabisa unajua izo sekta hazitegemi ruzuku tofauti na walimu na watu wengi kwanza mpo wengi mnafakazi masaa 6.

Alie nacho aongezee pambana ufike ulitumwa kusomea ualimu.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana aisee Ina maana mpk Leo wewe una amini walimu hawalipwi vizuri kwa sababu Ni wengi. ?
 
NECTA tu hapo PS analipwa 2.8 per moon mzee.
Kweli kwasababu Mimi Nina classmates wangu anafanyia kazi necta atakuepo analipwa mshahara mrefu Sana basi
 
Mmi napinga kabisa unajua izo sekta hazitegemi ruzuku tofauti na walimu na watu wengi kwanza mpo wengi mnafakazi masaa 6.

Alie nacho aongezee pambana ufike ulitumwa kusomea ualimu.
Kwani hao wengine wanafanya kazi kwa saa ngapi? Na hizo saa za ziada ni kwa sheria au kanuni ipi ya utumishi!

Kutwa wanazurula halafu ikifika jioni wanajipinda ofisini kutafuta posho hewa na kuweka mipango ya kupiga pesa!

Mwalimu anafuata ratiba ya vipindi vyake, unataka na yeye afanye kazi baada ya wanafunzi kuondoka?
 
Kwani walimu wakiendaga kazi maalum kama kusahihisha mitihani hawalipwi? Au seminar? Hizo ndio maana ya per diem. Hakuna maana nyingine.
 
Unadhani pale BOT au TRA kuba BAED tumia akili kingine izo kada hata mm nilitishwa ntakosa mkopo soma ualimu sijaenda nikakosa kweli japo sina ajira

Sasa mtu anasoma akibahatisha kweny izo sekta katusua waambie watoto wenu waache kukimbilia ualimu
Kumbe tunajadiliana na mpumbavu!
 
Kumbe polisi wana mbwembwe tu ila wanacholipwa ni takataka tu[emoji23][emoji23]
Mshahara wa polisi hauna tofauti na ule wa barmaid wa Kona bar. Si unaona hata maisha yao?? Duni kweli kweli.
 
Kumbe tunajadiliana na mpumbavu!
Yaani unacompare kama sio upumbavu huoni tabata we na ualimu wako wa degree usijifananishe na mfanyakz wa BOT hata diploma kwani huoni wanavyokula pesa na wataendelea milele

We pambana na ualimu mbona watu wanajivunia ualimu na wameridhika we unaleta shobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…