mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
"Ombi langu kwa President Magufuli:
kama wafanyakazi tumekukosea sehemu tunaomba utusamehe*
Mkuu, maneno ambayo nimeyanukuu hapo juu kutoka ktk mada yako yanaonyesha kana kwamba watumishi wa umma hawana haki zao za kisheria pale wanapotimiza majukumu yao ya kila siku, na tena wanaishi tu kupitia fadhila na huruma kutoka serikalini.
Kwa yaliyojili kwao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, ukweli ni kwamba ni yeye ndiye ambaye amewakosea kwa kuwanyima stahiki zao ambazo zipo kisheria.