Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mkuu kote unazunguka Jiwe anasumbuliwa na roho mbaya asilia ya kihutu , hataki mtu yoyote apate , yaani akipita akakukuta unakula vizuri anaumia nusu ya kufa nilikuwa namuona wizarani .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu achana naye. Mwisho wa urais wake ni 28/10/2020Ombi langu kwa President Magufuli:
Asante kwa description nzuri ya huyu mtu.. naichukuwaMkuu kote unazunguka Jiwe anasumbuliwa na roho mbaya asilia ya kihutu , hataki mtu yoyote apate , yaani akipita akakukuta unakula vizuri anaumia nusu ya kufa nilikuwa namuona wizarani .
Ni uroho wa kupata sana unawasumbua
Ni uroho wa kupata sana unawasumbua
Nyogeza ya Mshahara bila kupunguza mfumuko wa bei isingesaidia.
mbona mie naona ni mpenda maendeleo? sjui kwa nin katusahau wafanyakazMkuu kote unazunguka Jiwe anasumbuliwa na roho mbaya asilia ya kihutu , hataki mtu yoyote apate , yaani akipita akakukuta unakula vizuri anaumia nusu ya kufa nilikuwa namuona wizarani .