Lakini kikwete aliongeza pamoja na maneno yake aliyotoaWalitoa matamko kipindi cha kikwete, Kikwete akawaambia sihitaji kura zenu
Ona akili matope ya Lumumba! Wewe nilishajwambia kichwani umebebelea makamasi unafikri ni ubongo!!Ni uroho wa kupata sana unawasumbua
Wafanyakazi acheni kulalamika, mishahara inawatosha
Ni uroho wa kupata sana unawasumbua
Duniani huko watawala wanaheshimu na kuwaogopa wafanyakazi!! Ila hapa inaonekana wafanyakazi Eti wanaishi kwa kudra za watawala!! Kweli CCM wameliharibu hili taifa kwa kweli!!"Ombi langu kwa President Magufuli:
kama wafanyakazi tumekukosea sehemu tunaomba utusamehe*
Mkuu, maneno ambayo nimeyanukuu hapo juu kutoka ktk mada yako yanaonyesha kana kwamba watumishi wa umma hawana haki zao za kisheria pale wanapotimiza majukumu yao ya kila siku, na tena wanaishi tu kupitia fadhila na huruma kutoka serikalini.
Kwa yaliyojili kwao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, ukweli ni kwamba ni yeye ndiye ambaye amewakosea kwa kuwanyima stahiki zao ambazo zipo kisheria.
tunaambiwa mkubwa hakosei ndugu yangu! inabidi kujishusha!"Ombi langu kwa President Magufuli:
kama wafanyakazi tumekukosea sehemu tunaomba utusamehe*
Mkuu, maneno ambayo nimeyanukuu hapo juu kutoka ktk mada yako yanaonyesha kana kwamba watumishi wa umma hawana haki zao za kisheria pale wanapotimiza majukumu yao ya kila siku, na tena wanaishi tu kupitia fadhila na huruma kutoka serikalini.
Kwa yaliyojili kwao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, ukweli ni kwamba ni yeye ndiye ambaye amewakosea kwa kuwanyima stahiki zao ambazo zipo kisheria.
hizo huduma wanapata toka kwa malaika? au hao unaowabeza!Wewe Unataka upate mshahara mkubwa hujui kuna Watanzania Wengi zaidi ya milion 58 wanahitaji huduma
Rais Magufuli ameongeza pia
Inatoshaje bila kuongeza?Wafanyakazi acheni kulalamika, mishahara inawatosha
Pekeka huu upuuzi kwenu huko! Hii nchi ina watu wa ajabu jamani! Kweli hakuna nchi nyepesi kuongoza kama TZ! Raia wengi wapo wapo tu!Hili la wafanyakazi kutoongezewa mishahara waachieni wao maana wengi wanaridhika nalo .
Wamekubali kujitoa muhanga kwa miaka kumi kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili na maendeleo ya kizazi kijacho.
JPM endelea kujenga nchi wafanyakazi wako nyuma yako lakini wakumbuke kwenye ufalme wako maana wana hali ngumu.
hujawah kufka utumishi weweMkuu acha uongo emu niambie ni mfanyakazi gani aliyeajiriwa mwaka 2014 na mwaka 2015 aliyepanda daraja????
Waliopandishwa daraja ni wale ambao walitakiwa wapande mwaka 2015/2016 wakaja wakapandishwa 2017/2018.
Magu ameharibu mfumo mzima,kupanda daraja ilikuwa kila baada ya miaka 3 sasa amebadilisha imekuwa kila baada ya miaka 4 yani uonevu mtupu.
Hao maafisa wa Wizara ya utumishi unawasingizia bure wao wanafanya Kutokana na maelekezo,ni mtumishi gani awe na faili mezani linahusu masilahi asilitoe atakuwa hajipendi.