JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Naam wanabidi,
Kama mada inavyo jieleza, UKISIKIA NDANI ntiti nje ntiti ndio hii sasa. Leo makanisa ya Wakatoliki yatajaa Nia na madhumuni ni kusomewa waraka wa Maaskofu kuhusu Mkataba wa bandari zetu na DP world.
Huko Amerika, Diaspora jana wameandamana wakisema BANDARI ZETU URITHI WETU HAZIUZWI.
Mwabukusi na Mdude wanasema ndege ikisha pas hainaga reverse, wataendelea pale walipo ishia yaani kuupinga huu Mkataba hata ikibidi kuandaa maandamano ya kufa mtu.
Dr Wilbroad Slaa naye kasema harudi nyuma! Atapinga Mkataba Kwa nguvu zake zote, akili zake zote na Kwa roho yake yote. Anasema ni bora akataliwe duniani Kwa kusema ukweli kuliko kukataliwa mbinguni Kwa kuwa duniani hakukemea uongo.
Kwa taarifa za uhakika soon wasabato watatoa waraka wa kuukataa Mkataba na CCT muda siyo mrefu watakuwa na waraka mtakatifu wa kuupinga Mkataba.
Je, hii siyo NJE NTITI NDANI NTITI?