FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hamuwataki wewe na kanisa lako.Kwani huo mkataba una nini???hatuwataki hao waarabu! Kwanza hao jamaa wana roho mbaya huko makwao tena wana ubaguzi sana wa kidini, hatuwataki tu! Waende zazimbar huku tanganyika hatuwqtaki
Sisi tunawasubiri kwa hamu.
Wewe hata harufu ya bandari huijuwi.