britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #61
Yes Ila jews bado wako vema kaka muulize Yule daktari mrembo ambaye Kidogo muoane ambaye kaishi na kusoma huku udaktariDuh ... ila we mtu wewe...!, zamani tuliaminishwa the best wa intel ni Jews, lakini kumbe Warusi nao ni noma, mkeka haujatoka jf tayari tunao!, utakuja kusababisha printer ihamishiwe chumbani!
P
Oya sema chochote……….Kwa sasa hapa JF wewe ndio mtu wetu tunayekutegemea kutupa infos za ukweli na uhakikaHao hawawezi Pewa chochote
Mramba Alisha najisi wizara ya fedha , hakuna mchaga atasogelea pale wizara ya mapene!Eeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?
Vipi yule wa Vunjo si ampe wizara ya fedha?
Vipi Eric Shigongo kuwa naibu wizara ya michezo anafaa, Ummy bado anafaa kwani?
Mbalawa je aliyehusika na kudalalia bandari yetu huku ya kwao wakiacha.
Duh...!, Duh...!, Duh...! Aise wewe ni noma!. Usikute ndio wewe ulikuwa unanilia hiyo kitu yangu kule Rostov on Dhow!.Yes Ila jews bado wako vema kaka muulize Yule daktari mrembo ambaye Kidogo muoane ambaye kaishi na kusoma huku udaktari
Britanicca
Aiseee nyakati hubadilika mkuu, ingekuwa hivyo watu wa kanda ya Pwani wasingefaa kwa sababu ya Kikwete namna ambavyo utawala wake ulikuwa na skendo nyingi za ufisadi mkubwa mkubwa wa kutisha.Mramba Alisha najisi wizara ya fedha , hakuna mchaga atasogelea pale wizara ya mapene!
Haha wala si Mimi kakaDuh...!, Duh...!, Duh...! Aise wewe ni noma!. Usikute ndio wewe ulikuwa unanilia hiyo kitu yangu kule Rostov on Dhow!.
Anyway nilikuwa TA wiki ya Elimu, June, nikaenda kumsalimia ma mkwe, July, akatuacha, akatwaliwa!, hivyo amefiwa na mama!.
Inabidi tutafutane!.
P
Mkuu hii week ni chungu sanaHaha wala si Mimi kaka
Mpe pole sana aisee
Britanicca
wakuu nifunģlieni code dr mremboYes Ila jews bado wako vema kaka muulize Yule daktari mrembo ambaye Kidogo muoane ambaye kaishi na kusoma huku udaktari
Britanicca
Na anavyojua kutoa macho..Kama namuona Bomboko mavi yanagonga chupi na kurudi ndani.
Unabananga kiswahili unatia aibu:
Maji unywewa = maji hunywewa,
Chakula uliwa= chakula huliwa.
Kwani wewe kanda ya ziwa mla matoke?
Hana kazi za kufanya na hiyo ndiyo kazi anayoiwezaHabari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Kiboko ni Ummy hakuna cha maana anafanya lakini yupo kwenye teuzi zoteMwigulu ana jopo la wachawi, ila yupo moja huyo bikizee ana titi moja kiboko sana.
Maza tangu ameanza kuteua na kutengua nini cha maana kimebadilika?Hata Rais Ruto ametoa 10 kwanza wengine watafuata Jumatano 😂😂
Huyu na Bashe wakipiga mzigo maza anapata gawioMlete benchi Ummy mwalimu ,walete benchi wagawa virinda tumewamiss kijiweni kwetu tupige nao story
Kazi ya kuteua ndiyo kazi anaipenda mazaUsisahau kuwa hata marehemu wanapata teuzi siku hizi, only in Tanzania.
Rafiki unajua hata wakati magufuri amefariki ulitia codes kwa mbali za sbb ya kufa kwake.Vipi hebu funguka basi tujue mioango Gani ilifanywa hadi Rais wetu mwenye ulinzi alifariki wakati alikuwa mzima sana wakati anamaliz ziara kwenye stend ya mabasi Mbezi.Kariby mkuu ututonyeHaha wala si Mimi kaka
Mpe pole sana aisee
Britanicca
Iwe sahihi au sio sahihi mimi nachukulia kuwa hii ni taarifa kamili kuwa kuna walimwengu wengine wanapigwa chini soon na kuungana na bwaku bwaku nape na mwenzie mgosi. Sikupingi Mkuu britaniccaHabari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Mkeka ujao nipo pamoja na Msigwa ole wao niwepo naenda kushita kwa Rais , hawezekaniki kila siku nakipigania chama alafu sili matunda ya nguvu yangu.Habari ndugu zetu!