Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

Duh ... ila we mtu wewe...!, zamani tuliaminishwa the best wa intel ni Jews, lakini kumbe Warusi nao ni noma, mkeka haujatoka jf tayari tunao!, utakuja kusababisha printer ihamishiwe chumbani!
P
Yes Ila jews bado wako vema kaka muulize Yule daktari mrembo ambaye Kidogo muoane ambaye kaishi na kusoma huku udaktari

Britanicca
 
Eeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?

Vipi yule wa Vunjo si ampe wizara ya fedha?

Vipi Eric Shigongo kuwa naibu wizara ya michezo anafaa, Ummy bado anafaa kwani?

Mbalawa je aliyehusika na kudalalia bandari yetu huku ya kwao wakiacha.
Mramba Alisha najisi wizara ya fedha , hakuna mchaga atasogelea pale wizara ya mapene!
 
Yes Ila jews bado wako vema kaka muulize Yule daktari mrembo ambaye Kidogo muoane ambaye kaishi na kusoma huku udaktari

Britanicca
Duh...!, Duh...!, Duh...! Aise wewe ni noma!. Usikute ndio wewe ulikuwa unanilia hiyo kitu yangu kule Rostov on Dhow!.

Anyway nilikuwa TA wiki ya Elimu, June, nikaenda kumsalimia ma mkwe, July, akatuacha, akatwaliwa!, hivyo amefiwa na mama!.
Inabidi tutafutane!.
P
 
Mramba Alisha najisi wizara ya fedha , hakuna mchaga atasogelea pale wizara ya mapene!
Aiseee nyakati hubadilika mkuu, ingekuwa hivyo watu wa kanda ya Pwani wasingefaa kwa sababu ya Kikwete namna ambavyo utawala wake ulikuwa na skendo nyingi za ufisadi mkubwa mkubwa wa kutisha.
 
Duh...!, Duh...!, Duh...! Aise wewe ni noma!. Usikute ndio wewe ulikuwa unanilia hiyo kitu yangu kule Rostov on Dhow!.

Anyway nilikuwa TA wiki ya Elimu, June, nikaenda kumsalimia ma mkwe, July, akatuacha, akatwaliwa!, hivyo amefiwa na mama!.
Inabidi tutafutane!.
P
Haha wala si Mimi kaka
Mpe pole sana aisee

Britanicca
 
Unabananga kiswahili unatia aibu:
Maji unywewa = maji hunywewa,
Chakula uliwa= chakula huliwa.
Kwani wewe kanda ya ziwa mla matoke?
 
Habari ndugu zetu!

Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!

Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?

Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?

Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?

Britanicca
Hana kazi za kufanya na hiyo ndiyo kazi anayoiweza
 
Haha wala si Mimi kaka
Mpe pole sana aisee

Britanicca
Rafiki unajua hata wakati magufuri amefariki ulitia codes kwa mbali za sbb ya kufa kwake.Vipi hebu funguka basi tujue mioango Gani ilifanywa hadi Rais wetu mwenye ulinzi alifariki wakati alikuwa mzima sana wakati anamaliz ziara kwenye stend ya mabasi Mbezi.Kariby mkuu ututonye
 
Habari ndugu zetu!

Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!

Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?

Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?

Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?

Britanicca
Iwe sahihi au sio sahihi mimi nachukulia kuwa hii ni taarifa kamili kuwa kuna walimwengu wengine wanapigwa chini soon na kuungana na bwaku bwaku nape na mwenzie mgosi. Sikupingi Mkuu britanicca
 
Habari ndugu zetu!

Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!

Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?

Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?

Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?

Britanicca
Mkeka ujao nipo pamoja na Msigwa ole wao niwepo naenda kushita kwa Rais , hawezekaniki kila siku nakipigania chama alafu sili matunda ya nguvu yangu.
Mh Rais nimechoka nataka uniteuwe sasa
 
Back
Top Bottom