Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

Duh ... ila we mtu wewe...!, zamani tuliaminishwa the best wa intel ni Jews, lakini kumbe Warusi nao ni noma, mkeka haujatoka jf tayari tunao!, utakuja kusababisha printer ihamishiwe chumbani!
P
Ninakuombea sana sana ili upate teuzi hata ya ukuu wa wilaya angalao kwa mwaka mmoja tu..🙏
Unakipambania sana hicho chama cha walaji ila wewe huonekani kabisa...sijui unakosea wapi Paskali!!
 
Haangalii maendeleo ya nchi ila anaangalia mwaka 2025 atapitaje kuwa mkuu tena. Ndiyo maana ya SSH2025. Ndo siasa zetu. Kila kukicha wanawaza uchaguzi maana wanafaidika nao. Wakimaliza wanawaza 2030 na siyo wanawaza wameshawaza. Wanatugeuza hatujitambui. Watu wa leo siyo wa mwaka 47.
 
Mkeka ujao nipo pamoja na Msigwa ole wao niwepo naenda kushita kwa Rais , hawezekaniki kila siku nakipigania chama alafu sili matunda ya nguvu yangu.
Mh Rais nimechoka nataka uniteuwe sasa
Msigwa akiteuliwa sisi tunaopigania chama tutahoji katiba yetu. Ili uwe kiongozi ndani ya chama chetu CCM unatakiwa uwe mwanachama hai miaka 5. Msigwa hata mwaka bado. Tutamsusia chama!
 
Mwache aende hivyo hivyo mwisho ajitengue na mwenyewe, na hivi huwa hasomi anachowekewa mezani🙌
 
Weee jamaa wewe..ngoja uteuzi wangu utenguliwe ndo niteuliwe tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…