Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Ninakuombea sana sana ili upate teuzi hata ya ukuu wa wilaya angalao kwa mwaka mmoja tu..šDuh ... ila we mtu wewe...!, zamani tuliaminishwa the best wa intel ni Jews, lakini kumbe Warusi nao ni noma, mkeka haujatoka jf tayari tunao!, utakuja kusababisha printer ihamishiwe chumbani!
P
Unakipambania sana hicho chama cha walaji ila wewe huonekani kabisa...sijui unakosea wapi Paskali!!