Huyu tayari ni public figure, kila afanyacho lazima watu wacomment, anachofanya kina impact kwa jamii, hiyo ni faida na hasara ya kuwa public figure, anamashabiki, anawapenzi, anawatu wanaomfuatualia..so kila anachofanya lazima aguse hisia za mashabiki.Hivi AY hana haki ya kushabikia chama au mwanasiasa anayemtaka?
Hili ndilo swali la msingi, mengine yote yanategemea jibu la swali hili.
Sasa hv ili biashara zako zikunyookee hasa kama wewe ni mkulima wa mahindi na unauza UNGA, sio (unga) lazima ujiweke karibu na kijanai kibichi ili biashara uifanye kwa kujiamini zaidi ili la kutokea likitokea kabla halijafika kwa umma upate utetezi fulani fulaniHuyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Kuwa public figure hakumuondokei haki yake ya kuishi maisha yake anavyotaka.Huyu tayari ni public figure, kila afanyacho lazima watu wacomment, anachofanya kina impact kwa jamii, hiyo ni faida na hasara ya kuwa public figure, anamashabiki, anawapenzi, anawatu wanaomfuatualia..so kila anachofanya lazima aguse hisia za mashabiki.
Eti mbongo kapuku unaoa mnyarwanda.
Kiko wapi sasa?
Duh kumbe waliachana?Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Yani sasa watu wanataka kupangiana mpaka kuoa?We nae akili ndogo , Mimi nimezaliwa Bukoba na kukulia huko hawa Wanyarwanda wanaolewa mpaka na warundi sembuse Mtanzania sijui mnakosa Exposure na ufahamu kuwa chini au hamtembei
Mkuu,Mimi nikiona mtoto wa kiume ananenepeana kiboya boya, huwaga naacha kumchukulia serious.
Una biashara yoyote kubwa au taasisi inayoonekana kwenye mifumo ya nchi?Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Hawaelewi maisha hawa vijanaUna biashara yoyote kubwa au taasisi inayoonekana kwenye mifumo ya nchi?
Mapambano ya kuhakikisha tunapata maisha mazuri pamoja na ya wale wanaotutegemea ni makali. Kuna mapambano ya ujanani na uzeeni. He's over 40 now na anachofanya ni sehemu ya kutafuta survival kwenye utu uzima. Acha alipo mama awepo.
Yani sasa watu wanataka kupangiana mpaka kuoa?
Wameona kupangiana vyama hakutoshi, sasa wanataka kupangiana nani wa kuoa?
😂 😂 😂 😂Mkuu,
Kwani wewe nani kwanza mpaka watu wajali kama unawachukulia serious?
Kwa mfano usipomchukulia AY serious anapungukiwa nini?
Wabongo wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.Inafikirisha Sana mkuu , yaani wanataka kuwapangia maisha watu ambao hata hawana uhusiano nao
The cost of being a celeb.Inafikirisha Sana mkuu , yaani wanataka kuwapangia maisha watu ambao hata hawana uhusiano nao
😂 😂 😂 😂
Hatimae siku ya leo nimejibiwa na Kiranga!
Nakukubali kinoma weeeh mzee!
I'm George Betram.
Hata wewe unavyochukulia Mungu hayupo hakuna mtu anapungukiwa na kitu.
Ni vile kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake kuhusu mambo tofauti tofauti.
Kwani na wewe ni CHIBONGE mkongwe?
Comment niliyokua naitafuta🤣🤣🤣🤣Mrwanda kamfilisi balaa
😂 😂 😂Sasa ndiyo wewe na habari zako za "Mimi mtu Chibonge namdharau".
Kwani washamwagana na yule Mtusi?Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
ExactlyItakuwa ameshikwa akili na mwana fa