Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Hivi AY hana haki ya kushabikia chama au mwanasiasa anayemtaka?

Hili ndilo swali la msingi, mengine yote yanategemea jibu la swali hili.
Huyu tayari ni public figure, kila afanyacho lazima watu wacomment, anachofanya kina impact kwa jamii, hiyo ni faida na hasara ya kuwa public figure, anamashabiki, anawapenzi, anawatu wanaomfuatualia..so kila anachofanya lazima aguse hisia za mashabiki.
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Sasa hv ili biashara zako zikunyookee hasa kama wewe ni mkulima wa mahindi na unauza UNGA, sio (unga) lazima ujiweke karibu na kijanai kibichi ili biashara uifanye kwa kujiamini zaidi ili la kutokea likitokea kabla halijafika kwa umma upate utetezi fulani fulani
 
Huyu tayari ni public figure, kila afanyacho lazima watu wacomment, anachofanya kina impact kwa jamii, hiyo ni faida na hasara ya kuwa public figure, anamashabiki, anawapenzi, anawatu wanaomfuatualia..so kila anachofanya lazima aguse hisia za mashabiki.
Kuwa public figure hakumuondokei haki yake ya kuishi maisha yake anavyotaka.

Watu ku comment wana comment lakini wakijimwambafy kufikiri wana haki ya kumpangia maisha wataelimishwa tu kwamba "not to that extent".

Na yeye anajua kila anachofanya kinagusa hisia za mashabiki, ndiyo maana anatumia influence yake ku support chama anachokipenda.

Hiyo ni haki yake ya kisiasa, kikatiba, kiraia na kibinadamu.

Tatizo liko wapi?
 
We nae akili ndogo , Mimi nimezaliwa Bukoba na kukulia huko hawa Wanyarwanda wanaolewa mpaka na warundi sembuse Mtanzania sijui mnakosa Exposure na ufahamu kuwa chini au hamtembei
Yani sasa watu wanataka kupangiana mpaka kuoa?

Wameona kupangiana vyama hakutoshi, sasa wanataka kupangiana nani wa kuoa?
 
Mimi nikiona mtoto wa kiume ananenepeana kiboya boya, huwaga naacha kumchukulia serious.
Mkuu,

Kwani wewe nani kwanza mpaka watu wajali kama unawachukulia serious?

Kwa mfano usipomchukulia AY serious anapungukiwa nini?
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Una biashara yoyote kubwa au taasisi inayoonekana kwenye mifumo ya nchi?

Mapambano ya kuhakikisha tunapata maisha mazuri pamoja na ya wale wanaotutegemea ni makali. Kuna mapambano ya ujanani na uzeeni. He's over 40 now na anachofanya ni sehemu ya kutafuta survival kwenye utu uzima. Acha alipo mama awepo.
 
Hawaelewi maisha hawa vijana
 
Inafikirisha Sana mkuu , yaani wanataka kuwapangia maisha watu ambao hata hawana uhusiano nao
Yani sasa watu wanataka kupangiana mpaka kuoa?

Wameona kupangiana vyama hakutoshi, sasa wanataka kupangiana nani wa kuoa?
 
Mkuu,

Kwani wewe nani kwanza mpaka watu wajali kama unawachukulia serious?

Kwa mfano usipomchukulia AY serious anapungukiwa nini?
😂 😂 😂 😂
Hatimae siku ya leo nimejibiwa na Kiranga!
Nakukubali kinoma weeeh mzee!
I'm George Betram.
Hata wewe unavyochukulia Mungu hayupo hakuna mtu anapungukiwa na kitu.
Ni vile kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake kuhusu mambo tofauti tofauti.
Kwani na wewe ni CHIBONGE mkongwe?
 
Acha nikwambie MTOA mada na wengine,

Tunaishi TANZANIA nchi ambayo si rafiki na watu Matajiri (PUBLIC FIGURES)

Ukitaka utajiri wenye Amani TANZANIA lipa kodi piga hela zako kimya kimya ila usiinue shingo RAIA wakakujua wakaanza kukuongelea "TATIZO HILO"

Ukishakua tu una TEAM NYUMA yako amhayo ukiwambia kitu wanakusikiliza tyari CCM inakuona DILI kwao lazima wakusajili.

Sasa CHAGUA 1 uwe CHAWA WA CCM mambo yako yaende au Ujitie KUKAZA wakubanie kila kitu uishi maisha magumu!

Binafsi ningekua AY ningeendelea kuwa CHAWA kama DOTTO.

Tanzania Piga Hela enjoy maisha yako KIMYA KIMYAAAAAA uta enjoy.

Tofauti na Hapo unajitafutia kuwa CHAWA Tu utake usitake.
 
😂 😂 😂 😂
Hatimae siku ya leo nimejibiwa na Kiranga!
Nakukubali kinoma weeeh mzee!
I'm George Betram.
Hata wewe unavyochukulia Mungu hayupo hakuna mtu anapungukiwa na kitu.
Ni vile kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake kuhusu mambo tofauti tofauti.
Kwani na wewe ni CHIBONGE mkongwe?

Mimi sichukulii Mungu hayupo. Mungu hayupo.

Mimi si Chibonge. Wabongo kila abstact question au point mbona mnapenda kui personalize?

Umenikumbusha siku za kwanza nimeanza kazi New York City. Nilikuwa naongea na jamaa fulani hivi. Basi nikawa so excited kila nikisema maneno fulani nasema "mimi kazini kwangu hivi hivi hiviii".

Basi demu mmoja akanitolea uvivu, akaniuliza.

Wewe unasema sana "mimi kazini kwangu, kwani unafanya kazi gani?".

Basi yule demu alitegemea sijui nitamwambia Kamishna wa Polisi au IGP kwa jinsi ya mabobish na mashauzi yale nilivyokuwa najimwambafy 😂😂😂

Akaja kukuta kazi ya kawaida tu middle class.

Sasa ndiyo wewe na habari zako za "Mimi mtu Chibonge namdharau".

Yani imebidi nikuulize wewe nani kwani? Au ndiye Profesa Janabi mwenyewe? 😂😂😂
 
Sasa ndiyo wewe na habari zako za "Mimi mtu Chibonge namdharau".
😂 😂 😂
Mkongwe, mtoto wa kiume anayeruhusu kunenepeana ovyo anacheza na afya yake, kunenepeana hakuji kwa ajali.
Simchukulii serious kwasababu haichukulii afya yake serious, kama mtu anaweza kupuuzia hali ya afya ya mwili wake anawezaje kuchukulia mambo mengine serious?

Kutokumchukulia serious haimpunguzii chochote, lakini mimi binafsi inanisaidia.
 
Back
Top Bottom