Huyu tayari ni public figure, kila afanyacho lazima watu wacomment, anachofanya kina impact kwa jamii, hiyo ni faida na hasara ya kuwa public figure, anamashabiki, anawapenzi, anawatu wanaomfuatualia..so kila anachofanya lazima aguse hisia za mashabiki.Hivi AY hana haki ya kushabikia chama au mwanasiasa anayemtaka?
Hili ndilo swali la msingi, mengine yote yanategemea jibu la swali hili.