Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hivi kumbe waliachana na yule mkewe mnyarwanda.! Vipi kuhusu mgao wa mali na divorce alimony, jamaa ali-hakimize mali zake au alizidiwa ujanja na demu?Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Hivi walibreak na yule mnyarwanda?Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Hoja yako ni ipi sasa?Hili Ni Tatizo lako la kutekwa na hisia za kichama, akili inakuwa diluted to the maximum.
Katika mazungumzo yangu, tangu mwanzo, sijataja chama hata kimoja. Sijaingiza U-CCM, U-Chadema, U-ACT, n.k. ktk hoja zangu. Ila wewe umeamua kunilisha maneno ili uonekane mshindi, au Siyo!
Sizungumzi hoja zangu ktk mlengo WA kisiasa zaidi. Kwamba kwa nini kaenda CCM na si Chadema? Duh! Huo si Msingi WA hoja yangu.
Umeamua tu kunihamishia magoli ili uonekane mwerevu kuliko..... 🙋🙋
Wewe ndiyo pumbavu nyama ya mbavu unaishi kwa kufuatlia maisha ya watu kenge weweJitu unaliheshimu Toka zamani halafu unakuja kuona linatuma post ya kikuda kama hili li Kiranga
Duuuh Ay aliachana na yule bi dada???!!!! Kweli mapenzi yafutwe
Mimi nitachukua, potelea mbali nitajifichaficha siti za nyuma huko. Mkuu... acha kabisa.Kwa sasa mfukoni mwangu nina 15,000 tu .
Atokee mtu aniambie niwe shabiki wa samia au ccm, au kuvaa nguo ya ccm anipe milioni sitakubali kamwe hata kwa panga!
Kweli mkuu!?Mkuu.
Jielimishe kuhusu kunenepeana. Kuna watu wananenepeana kwa sababu za kibaiolojia tu.
Halafu kuna watu wanene wana afya nzuri na kuna watu si wanene wana afya mbaya.
Huo msimamo wako ni wa kizamani sana na umepitwa na wakati.
Obesity ina sababu nyingi, nyingine ni watu kupenda kula na kutofanya mazoezi. Na kuna watu hawali sana na wanafanya mazoezi na bado ni obese kwa sababu za kibaiolojia tu.Kweli mkuu!?
Kwahiyo masuala ya obesity ni hekaya zilizopitwa na wakati?
Wewee mapenzi kwa CCM unayapimaje mpaka kuja na hili hitimisho lako? Unampimia mtu kiasi cha mapenzi anayotakiwa kuwa nayo dhidi ya CCM au?Hapo issue sio ushabiki mwenzetu yupo hapo kimaslahi zaidi ...hana mapenzi na ccm kiasi hicho mpaka kujitoa akili
Umesema ukweli mkuu, kuna watu hupenda kujipa umuhimu ktk maisha ya watu.Yeah ,AY yupo sawa ,kila mtu ana haki ya kuchagua akipendacho.
Bwana Ambwene unamuweka kwenye kundi gani?Obesity ina sababu nyingi, nyingine ni watu kupenda kula na kutofanya mazoezi. Na kuna watu hawali sana na wanafanya mazoezi na bado ni obese kwa sababu za kibaiolojia tu.
Sasa hapo ukimuweka kila mtu obese kwenye kundi ka wazembe utakuwa umerahisisha sana jambo complex sana.
Kwa sababu anakuwa amepata mwenzie wa kugombea gari la mbagala kwa kupitia dirishani.Hivi kwanini masikini huwa anafurahia kuporomoka kwa mtu?
Watu wa humu baadhi wana roho za kiwichi bado kuwaona wakipaa kwenye majukwaa ya J FKwanini asimsapoti rafiki yake?nothing to argue!
I couldn't care less.Bwana Ambwene unamuweka kwenye kundi gani?
Maana kwenye hiyo picha iliyoambatanishwa na uzi, shingo na kichwa cha bwana Ambwene vinakaribia kufanana kabisa, muda si mrefu itakuwa ngumu kutofautisha shingo na kichwa chake?
Au ni angle tu, kwamba mpiga picha alikaa vibaya?
I don't care pia kuhusu maisha aliyochagua kuishi, but I saw his picture, I can't unsee it.I couldn't care less.
Ni maisha yake na anaamua kuishi anavyotaka yeye.
Mimi yananihusu nini?
Nimchunguze unene wake kwani nataka nizae naye watoto?
Wabongo wengi mna tabia ya kutoa ushauri ambao hamjaombwa, kwa watu msiowajua, kuhusu mambo msiyoyaelewa.I don't care pia kuhusu maisha aliyochagua kuishi, but I saw his picture, I can't unsee it.
Baada ya kusoma uzi na kuona picha yake, nikachangia nilichochangia, kuwa watoto wa kiume aina ya AY huwa siwachukulii serious, comment yangu ilikuwa ni kama ushauri kwa mtoa mada/muanzisha uzi, kuwa mtoto wa kiume ambaye hajali afya yake sio wa kumchukulia serious.
Bila kuona huu uzi na picha ya AY wala nisingesema chochote.
😂😂😂Wabongo wengi mna tabia ya kutoa ushauri ambao hamjaombwa, kwa watu msiowajua, kuhusu mambo msiyoyaelewa.
Wewe ni mfano.
Umetoa ushauri ambao hujaombwa, kwa mtu usiyemjua, kuhusu suala la obesity ambalo inaonekana hulielewi.
Wabongo wengi hamjui mipaka ya kuheshimu maisha ya mtu binafsi.😂😂😂
Watu wote unaochangia nyuzi zao humu JF unawajua?
Mimi unanijua?
Unataka kusema aliyeweka uzi hataki tuchangie?
Au anataka tuchangie lakini tuchangie vitu vinavyokufurahisha wewe na vinavyoendana na mtazamo wako?
Suala la obesity inaonekana silielewi au silielewi? Kwa kauli yako hauna uhakika kama silielewi suala la obesity.
Okay Wabongo tuna tabia ya kutoa ushauri ambao hatujaombwa.
Wewe unachofanya hapa ni nini? Mimi nimekuomba uniquote? Hauoni hiki unachokifanya hapa ni kunipa mimi ushauri ambao sijakuomba? Hii haikufanyi wewe kuwa Mbongo kama mimi?
😂😂😂Wab9ngo hamjui mipaka ya kiheshimu maisha ya mtu binafsi.
AY ana haki ya kuamua kuwa obese. Akiamua hivyo wewe hina haki ya kumpangia maisha yake.
Pia inawezekana AY ana tatizo la kibaiolojia.
Kwa hiyo wewe kuandika kitu cha judgement on his obesity ni ujinga tu.
Huelewi hata sababu za obesity ila unaharakisha kutoa ushauri ambao hujaombwa kuhusu obesity. Kuhusu mtu usiyemjua.